Aina: Toyota Corolla Rumion
NZE151-1049698
Grade 1.5G
Year 2008
CC 1,500cc
Inspection
Score 4
Interior B
Transmission IAT
Note mileage74,000km
Odometer 74,000km
A/C AC
Price up to dar es Salam: $2920
Habarini wana jamvi. Naomba msaada kwa wataalamu wa magari. Nina gari yangu Brevis 1JZ ina tatizo la kuchemsha. Yaani, unaweza tembea hata kilometa 20 za mwenda wa kawaida tu, mshale wa hit...
Jana nilikuwa napasha gari, nikaiwasha engine ikawaka na ilikuwa kwenye Parking Mode, nikawa nakanyaga accelerator kwa muda fulani, badae nikazima ila nashangaa sasa nikiwasha gari inawaka...
Jamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa...
Hi wakuu,
Gari yangu inachoma engine oil pamoja na mafuta. Hii imepelekea oil kupungua kuwa inapungua kadri ninavyoendesha gari. Nini ufumbuzi wa tatizo hili?
Wakuu habari za majukumu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina Gari spacio new model nilipata Ajali nikapinduka nayo matairi juu baada ya kuparamia gema, haikuchukua dk kumi nikasaidiwa...
Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel...
Jamaa kwa mazarau kaamua kuyapita magari mengine yaliyojisubirisha ili mkondo wa maji ya mafuriko yspite.
Kajiamini na 4 WD yake, na hakufika mbali.
Alipoteza kila kitu, nafikiri na maisha pia.
Masaada wana JF Nahitaji gari ya hesabu kufanyia kazi ya tax mtandaoni bolt/uber isiwe juu ya ccc1490 ikiwa chini ya ccc1290 itakuwa vizuri zaidi ikiwa brand ambazo zimezoeleka kwenye hizi kazi za...
Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha
Consumption ya mafuta ikoje?
Nataka kununua hii gari Kwa mtu used. Imewekewa injini ya rav 4. Naomba ushauri Changamoto ya hizi gari na hasa baada ya kuwekewa injini ya rav 4.
Upatikanaji wa spare, Changamoto zake n.k
Kampuni ya mabasi ya Yutong ya China yazindua malori mazito ya umeme na mabasi yasiyo na dereva
Kampuni ya mabasi ya Yutong ya China imeitisha mkutano na wanahabari mjini Zhengzhou, nchini China...
Wadau nifahamisheni ikiwa kuna punguzo ama msamaha wa kodi kwa mfanyakazi wa Serekali anayeingiza gari nchini ikiwa gari limetengenezwa ndani ya miaka 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.