Hello bosses and roses...
Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri...
Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016.
Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu.
Gari zote...
Wakuu kumeibuka fashion ambayo naiona ina trend sana mjini. Huu mtindo wa kuweka urembo wa manyoya katika dashboard mpaka almost dashboard kama yote inafunikwa! Wanaojua faida ya hii kitu tunaomba...
Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza...
Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio...
Habari,
Kuna mnada wanauza gari zilizokufa za serikali namba SM na STG. Ninataka kujua taratibu za kubadili umiliki.
Je, hatua gani za kufuata? Na Je, Kuna ukweli Kuna uwezekano kulipia ushuru...
Wakuu salama?
Nipo dilemma hapa nataka kufanya wheel balance & allignment. Kuna THE WHEEL na EVOLUTION watu wanaziongelea sana kwa haya masuala.
Wapi wapo vizuri kwa wataalam mliowai zitumia...
Ndugu JF wenzangu nami nataka niingie kwenye ukoo wa kumiliki chombo cha moto, gari ninazo zipenda ni hizo, nataka kuagiza moja wapo toka Japan, hivyo naomba ushauri kwa wenye uzoefu juu ya magari...
Wadau habari, ili na mimi nisinyeshewe na mvua nina ka mkweche kangu ka vitz old model.
Ni spana mkononi ila kananisave. Sasa block ilikuwa imepasuka, nilipopata nyingine fundi akakata cylinder...
Kwa wenye uzoefu na gari tajwa hapo juu.
Ni ya 2012
Cc 1200
Kiufupi sina uzoefu na magari zaidi ya kuendesha ya watu,nmetokea kuipenda muonekano wa hii gari na kuna mtu anaiuza,sasa kabla...
Habari
Nina Corolla XE 111 ambayo ipo sawa safari popote na haijawahi kuniweka njiani nashukuru katika safari zangu za Tanga to Dar.
Hii ina 4E engine Cc 1330.
Nataka walau kusogea sogea kidogo...
Kukosa mtu sahihi wa kurekebisha tatizo la gari lako.
Moja kati ya makosa ambayo nimeyaona kwa kipindi kirefu ni hili.
Mtu anakuwa na mawazo kichwani kwamba Fundi mmoja anaweza kufix matatizo...
Habari wakuu,
Nimenunua pikipiki ina plate number nyeupe, Sasa mimi matumizi yangu ni binafsi nataka niweke plate number ya njano, je naanzia wapi kubadili na gharama zake zikoje? Card ya...
Nmefuatilia site nyingi za kuuza magari, nmegundua magari ya Dubai ni mazuri, yana kilometa chache, body safi ila bei ni ndogo kulinganisha na sehemu kama be foward.
Shida inakuwa nini?
Nawaza,
chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard...
Majuzi nilipata Pancha kwenye barabara ya lami yenye mashimo tairi ikachanika. Tairi ilikuwa tubeless.
Kwa kuwa Nilikuwa kwenye mji mdogo sikupata tairi tubeless hivyo nikaweka yenye tube. Baada...
Wakuu habari zenu!
Hivi mtu ukiwa na boat na unajitaji kuifanyia huduma za kupeleka watu uko Bongonyo Island or Mbudy je unafanya process?
Namaanisha process zote za kupaki na kupeleka watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.