Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?
Naomba kufahamu manufaa na changamoto za kukata bima kubwa ya gari (Comprehensive) kwa kupitia mitandao ya simu kama vile Voda bima.
Utaratibu wao ukoje? Inawezezekana kulipa taratibu? Ukipata...
Gari yangu aina ya Raum 2nd generation niliipaki kama week 2 ilikuwa na changamoto ya brake system nzima na kwa bahati mbaya ikasababisha mpka betri kuwa low maana gari ilikuwa aitumiwi majuzi...
Habari ndugu zangu, nipo na Isuzu
forward hapa
Ina kama siku mbili imesimama
ghafla kupiga honi na kushusha
kioo upande wa dereva.
Nimejaribu kumcheki fundi umeme
wa magari ananiambia shida...
Habari wadau.
Nimekuwa nikipata changamoto sana kwenye kuchagua gari hizi za kutoka dar kwenda musoma. kila gari ninayopanda inashinda mwenzake kwa ubovu.
Naomba msaada wenu wadau, kampuni gani...
Habari wadau, nimenunua pikipiki mpya Boxer BM 150, kwa ajili ya matumiz binafsi napenda kufahamu ni mda gani sahihi au ni baada ya KM ngapi natakiwa kubadili Engine oil.
Shukrani sana.
Wakuu zangu nimetembea na Nissan Dualis Mpaka Musoma pasipo kupumzika na kuizima.
Je, vipi kuhusu Gearbox yake kwa Skendo za kufa? Kweli imenifurahisha na imetembea sana.
habari za jioni wakuu, niliazima gari ya rafiki yangu kwenda nayo sehemu flani, wakati wa kuondoka sehemu hiyo nilijaribu sana kukanyaga brake ili ni push the button kuwasha gari ila ikagoma...
Speedometer imekuwa calibrated kusoma speed ya gari kupitia mzunguko wa tairi.. Diameter ya tairi inacover distance fulani..!
Ukipunguza size ya tairi itasababisha gari kwenda spidi ndogo zaidi ya...
Huyu jamaa huwa anatumia syllabus gani...mbona kama namna anaelezea mifumo ya engine na utendaji wa magari ni wa zamani ..
Ni sawa na mm kusoma kitabu cha zaman kinachoelezea namna engine za...
Wakuu nimerudi tena, Nadhani mtakuwa mnaniona hapa mara kwa mara Kila nitakapopata changamoto
Juzi kati nilipata safari ya Dodoma nikaenda na Beamer (BMW X3) na ndio ilikuwa kwa mara ya kwanza...
Habari wadau, leo nimeona nifanye kushare na nyinyi kidogo kuhusu uchaguzi wa magari hasa linalokuja suala la bei.
Ni wazi bei za magari hazifanani, mfano Rav 4 latest model na Vanguard latest...
Wakuu Habari zenu naomba Msaada ya rpm, pikipiki yangu Ile Cc110 nimekuwa nashindwa kuelewa je rpm ina umuhimu gani na ina Msaada gani kama Dereva?
Mfano nikiwa kwenye speed ya 50 rpm inakuwa...
Wakuu, mwaka huu mwishoni nimepanga kufanya safari kuendesha hiyo ndinga kwenye picha kutoka Cape Town South Africa mpaka Dar es Salaam Tanzania karibia Kilomita 5,000.
Kuna yeyote yaliyewahi...
Msaada wataalam, taa za mbele zina kama vumbi kwa ndani na nataka kufuta hilo vumbi, je kuna uwezekano wa kufungua kioo nikafuta kwa ndani kisha nikagundisha tena?
Wakuu niliibiwa na gari mwaka jana mwez wa kumi na mbili, gari ilikua na bima kubwa. Niliwasilisha taarifa yqngu bima, na uchunguzi wa polisi umekamilika lakini hakuna kilichobainika mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.