Habari ndugu zangu. Naomba mnisaidie kujua kwa nini ninapoendelea kupima oil ya engine kwa dipstick ninaona inapungua wakati hakuna mahali popote panapoonesha kuvuja (leakage) kwa oil hiyo...
Ndugu, kwanini gari ikirudiwa rangi inasumbua sana kuuzika? Gari haina ajali yeyote, haigongi chini, haina weird noises kwenye engine, interior iko safi kabisa, lakini haitoki sababu tu...
Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida...
Wadau,engine ni 1NZ,nikiwa naendesha iko kwenye D,nikikanyaga breki inawaka taa ya R na alarm,pia taa ya indiketa ya kulia inawaka,ila safari inaendelea bila tatizo,je maji yameingia sehemu?
Au...
Habari wakuu,
Nilinunua gari langu tangu mwaka 2016 ilipofika mwaka 2017 lilianza tatizo lakuwa linakomea gear namba 3. Nilikaa nalo kwa muda karibia miezi sita ndiyo kuja kupata ufumbuzi ni...
Wakuu mmeamkaje?
Binafsi naipenda sana subaru nikiionaga mtu road ana drive huwa naona wivu sana. Ndoto zangu ni kumiliki subaru forester XT hii gari naipenda sana. Najipanga ni import hio...
Hapa nazungumizia Models zote za 70s kama
70, 76, 78, 79...
Hizi Gari Mjapani alitengeneza kwa kweli,
Kila model anayotoa ni chuma
Ni imara, zina nguvu, zinavumilia,
Zilitengenezwa maarumu kwa...
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake...
Habari wadau.,
Gari yangu inatatitizo endapo kama itakaa juani mda mrefu ukiwasha kama hazisom kwenye dashboard na ukitembea mshale wa speed hausomi pia inachange gear katika high rpm.
Mpaka...
Hamjambo wanafamilia wa jf
Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi
Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini...
volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel
Wakuu poleni na majukumu, nataka kununua hii gari hivyo naomba ushauri wenu kwenye haya mambo.
1. Matumizi ya mafuta(inatumia lita ngap kwa km).
2...
Habarini zenu!
Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili:-
Gari la mwaka 2011 lina features zifuatazo:
Limetembea km 156,000
Rangi nyeusi
Linauzwa Dola 3,500 CIF
Pia lina
Airbag
Alloy...
Habarini!
Ni hayo tu, kati ya hizi gari mbili, ipi ni bora zaidi kwa wale ambao wameshazitumia au wenye uzoefu nazo.
Naziona ona sana mjini siku hizi.
VW Polo
VW Golf
Vyombo vya majini (Watercraft) ni chombo chochote kinachotumika kufanya safari majini kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Mfano wa hivyo vyombo ni Meli, Boti, Nyambizi (Submarine) na Sea Planes...
.
Mitsubishi Outlander ni compact crossover [medium sized] SUV inayotengenezwa na kampuni ya kijapan ya Mitsubishi Motors, Mwanzoni ilikua inajulikana kama Mitsubishi Airtrek ilipokua introduced...
Habari zenu wa JF ,,ebu leo Tuambizane ni kipengele gani ulikutana nacho wakati unaanza safari yako ya kununua usafiri wa miguu minne ikakupelekea hadi ukajuta? ,, mimi nakumbuka wakat naingia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.