Habar zenu Wadau[emoji8]
I hope mpo pouwah na Mnaendelea na Majukumu Ya Ujenzi wa Taifa Letu.
Nina ombi moja hapa.
Kuna ndugu yangu yupo Arusha anahitaj gar ya kutembelea na Bajet yake ni 7.5m...
Watu wengi wamekuwa wakiuliza swali.
"Kwanini ndege za abiria wasiweke miamvuli {parachutes} ili kila mtu aweze kuruka inapotokea dharura"
Kiuhalisia kwasasa haiwezekani kwasababu zifuatazo...
Uzi maalum kama umeshatumia kwa muda, labda umelichoka au unatamani kubadilisha tupia hapa watu waje PM tumalizane kuepuka cheni za wadau wengine
Hapa iwe kwa wamiliki tu, tupia gari unayouza...
Habari za humu wataalam nataka kununua gari ndogo ya kutembelea toka kazini na kurudi nyumbani naomba ushauri ninunue gari ipi kati ya hizo mbili nakaa umbali wa km27 had kufika kazini
Engine ya gari ina moving parts nyingi.. Kila moja ina kazi yake na mwendo wake..nyingine zinapanda zinashuka.. Nyingine zinazunguka kwa utaratibu maalumu.. Ili movements ziende kwa kufuata...
Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine.
Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil.
Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock...
Habari wanajamvi.
Leo limenikuta jambo, baada ya muda mrefu sana wa kuendesha fuso yangu kuzunguka mikoa mingi sana hapa Tanzania na baadhi ya maeneo ya nchi za jirani katika kutafuta riziki...
Wakuu habari za leo,
Nina mpango wa kuagiza gari Japan, ninafikiria zaidi Harrier New model au Toyota Kluger za mwaka 2004-2006, nahitaji kujua ubora na udhaifu kati ya hayo magari mawili, na...
Ufafanuzi Mdogo
Kumbuka ndege ina viungo vya msingi vinne (PrimaryComponents) 🛩
1. Bodi/Kiwiliwili (Fuselage) kubeba abiria au mizigo.
2. Mbawa (Wings) kupaisha ndege na kubeba mafuta.
3. Mkia...
Habari! Kuna mtu yoyote anafahamu umuhimu wa kuweka bajaj kwenye gas kama mbadala wa Petrol??
Je gharama inapungua ukitumia gasi?? Au inakuwa sawa sawa na petrol??
Msaada
Habari ndugu zangu.
Nimedokezwa kuwa speed inayotakiwa gari kwenda kwa tairi husika huandikwa kwa kiwakilishi cha herufi, mfano, A, B, C na kuendelea.
Naomba anayejua hili anijulishe kila...
Msaada tafadhali, nataka kuagiza gari Japan, naomba kujua mambo yafuatayo.
1. Je naweza kufanya clearance mwenyewe bila kutumia agent? Yaani nitoe gari mwenyewe bandarini bila msaada wa agent?
2...
Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea...
When it comes to choosing a vehicle, many people believe that smaller engines are more fuel-efficient and eco-friendlier than larger ones. However, the truth is more complicated than that. While...
Habari WanaJF,
Wadau naona speed ya raia kuziuza hizi gari ambazo kimsingi zinaonekana ni gari fuel efficient na namba D.
Nimeshindwa kung'amua kama zina matatizo ama inakuwaje, hebu wenye moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.