Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa...
1. Hakikisha muuzaji anamiliki gari kihalali na ana haki ya kuliuza. Uliza kuona jina la gari na uhakikishe kuwa jina la muuzaji linalingana na jina lililo kwenye kwa blue card original. Kumbuka...
Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari...
A. alaykum, za leo ndugu zangu?
Naombeni msaada wenu, mimi nataka nifunge Android redio kwenye gari pamoja na zile Tv za nyuma ya siti lakini nashindwa kujua kampuni ipi ni bora na ipi ni fake...
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa...
Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159
Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana
Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo...
Hello wataalamu wa magari na wazoefu wa Carina, ipi inatumia mafuta vizuri zaidi...binafsi nina uzoefu na Carina Si, 7A engine, cc 1762, hii gari inatembea wastani wa 15km kwa Lita 1, naomba...
Wasalaam!
Heri ya mwaka mpya 2018.
Ninampango wa kubadilisha tairi kwenye kigari changu ninaomba ushauri wenu kwa wenye ufahamu zaidi je ni tairi zipi bora na imara kati ya Michellin, Kumho na BF...
Wadau habari zenu,najua humu kuna watu wabobevu sana wa masuala ya magari.Nina gari yangu Toyota Vitz Old Model.Ghafla tu speed meter na km haziomi kwenye dash board,km zipo zile zile na speed ni...
Naombeni maujanja ya kuagiza pikipiki toka china. Huko naina ni bei nafuu zaidi kuliko kununua hapa bongo. Thanks
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ma engineer habari za j2
Wakuu kuna kitu nime experience nimeona nishare hapa tupeane maarifa. Mimi huwa naweka mafuta/fuel kwenye station tatu (3) tu kutokana na mazingira
1. Total
2. Puma
3...
Nimefikia maamuzi ya kuanza bajeti ya kununua gari aina kati ya aina hizo mbili kwa kwenda kutumia kibinafsi, kibiashara na kiusafirisha binadamu.
Naomba kujuzwa kati ya hayo mawili lipo ni bora...
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
Sijui kwa herufi moja huneba magari...
Habarini wadau,
Nimepatwa na changamoto ya gari kutowaka, yaani ukibonyeza push start button haikubali as if mawasiliano kati ya funguo na button hayapo.
Tatizo lilianza kidogokidogo kuna wakati...
Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat ni boat ndogo iliyotengenezwa na kampuni ya Suzuki kwa ajili ya kazi za utalii,michezo ya uvuvi na familia kufurahia mazingira ya bahari au weekend. Boti hii...
Napenda kuwasilisha utapeli niliouona kwa huyu muathirika wa bom la atomic katika ubunifu na utengenezaji wa magari.
Kuna gari moja kimetengewa na kampuni ya daihatsu lakini hilo hilo unalikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.