Habari za mapumziko waungwana!
Ningependa kujua utumiaji wa mafuta wa gari tajwa hapo juu, Toyota harrier! Najua watu wanaiponda sana katika utumiaji wake kwa sababu ya ukubwa wa injini! Sasa...
Wadau habari za kazi
Naomba kujua kati ya Toyota vanguard, Toyota Harrier na Toyota Kluger ni ipi ambayo mtu akiwa nayo haitamsumbua sana?
Natanguliza shukrani.
Kwa mafundi magari wote, mafundi mnaniangusha, kwa nini mko nyuma sana hasa kwenye urekebishaji wa hizi gari za mkoloni?, nyie kila siku ni japanese tu,ndugu zangu dunia ipo kasi sana.
Nitolee...
Nimeona kwenye group moja la Telegram mdau anauliza hili swali. Tumeshindwa kujibu.
Wadau nani amewahi enda Dodoma kwa IST toka Dar? Alitumia mafuta ya tsh ngapi au lita ngapi?
Au
*Nani...
Ndugu zangu naomba tujadili umuhimu wa kuwa na driving licence kwa watu ambao wanamiliki gari binafsi na zisizo za kibiashara.
Je, kwanini isiwe kwa madereva wanaoendesha gari za biashara kama...
Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?
Na je niqeka upepo mf nyuma 50 na mvele 40 kutakuwa na madhara gani na nini faida ya kuweka upepo sawa?
Natanliza shukrani kwa watakaochangia
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.
Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue...
Wadau Nataka kununua pikipiki Aina ya Honda Ace 125 individual made in South Africa.
Bei yake ya ofa 2,600,000/= mpya.
Je, kuna pikipiki nzuri zaidi ya hii ambayo bajeti take haivuki milioni...
Haya ndugu na marafiki, nakuja kwenu ili nipate uzoefu wa Honda CR-V uzuri wake na changamoto zilizonazo, mambo yakienda sawa nataka kumiliki gari hii.
Nawakilisha kwa maoni zaidi.
Honda CV-V
Salaams wakuu, heri ya mwaka mpya. Wakuu naombeni ushauri kidogo... Kuna gari Honda CR-V second generation (2002) nataka kuichukua, ila kabla sijaichukua nimekuja hapa kupata muongozo kwenu wadau...
Wadau, habari zenu!!
Ninataka kununua gari ya kutembelea HONDA CR-V, TOLEO LA 2004.
kidooogo, mi si mtaalamu wa magari. Kwa mnaofahamu, vipi gari hii ulaji wake wa mafuta, uimara na...
Wakuu habari habari ya Ramadhani na Kwaresma!?
Awali ya yote ningependa kutanguliza shukrani zangu kwa majibu yenu mazuri naamini yatanipa mwanga juu ya haya magari mawili natamani nipate moja...
Watalaamu wa customs na styling kwanini Tanzania bado tuko nyuma kwenye styling za magari? Daah nimependa sana kazi inayofanywa state na jamaa wanajiita TEXAS METAL na WEST COAST CUSTOMS ni next...
Kutokana na watu wengi kutokuwa na elimu hasa ya vyombo vya moto na wengine wakitamani kumiliki gari ,ukiwa kama mtumishi wa umma kuna utaratibu upo umewekwa wazi leo nakumulikia mwanga karibu...
Wanajamvi habari za wasaa huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada wa kupata bumper la rav 4 (old model), lile lenye chrome ya silver na fog light.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.