Wakuu, Amani iwe nanyi nyote!
Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku.
Katika pitapita...
Watu wa Mungu habari!
Naomba kujua toka kwa mwenye uzoefu wa kutumia hii gari aina ya Honda Fit GE6.
Ina changamoto gani, ina ubora gani na bei yake hapa Tanzania, upatikanaji wa spare zake n.k...
Wanajukwaa,
Ni VW polo ya mwaka gani haisumbui engine na gearbox?
Ipi ambayo spare zake nitapata kwa urahisi?
Mafundi wake wako wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumezoea kuona injini zinazokuja kwenye gari zikiwa na piston ila hii ni injini isiyokuwa na piston bali muundo wake ni kama gurudumu la pembe tatu.
injini hii iupatikana kwenye magari ya mazda...
Kuna vitu kadhaa vinavyokuwezesha useme spark plug ni mbovu au lah.
Hebu tuziangalie hapa haraka haraka.
1. Nyufa kwenye Insulator
Ukiikuta spark plug ina nyufa kwenye Insulator...
Habari wataalamu. Ukiangalia maelekezo ya utunzaji wa gearbox ya hizi gari za kisasa yaliyopo kwenye dipstick (automatic) yanasema kuwa kwa hali ya uendeshaji wa kawaida wa gari, hakuna haja ya...
Wadau wa magari, naomba remarks Zenu kuhusu ili, Ninafsi naona taa zinazotoa mwanga mweupe zikikutana na taa za mwanga wa yellow maona nyeipe zinafunikwa ....
Wazoefu naomba msaada,nataka kununua gari kwa jamaa,lakini yeye aliuziwa na kampuni,ila hakubadili jina,linasoma la kampuni,,documents za mauziano anazo,naomba kujua taratibu za kufuata wakuu.
Wanajamvi naomba mnisaidie. Hizi gauge za mafuta za kielektroniki, bar moja inawakilisha lita ngapi? Inanipa shida kufanya makadirio ya kiasi cha lita ninachokuwa nacho. Wataalamu nisaidieni.
Hello my good people, natumia gari ya hybrid (Toyota Prius) sasa juzi nilipatwa na changamoto moto ya kuharibikiwa na auxiliary electric water pump inayo zungusha maji ya kupoza inverter na...
Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu.
Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power.
Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick...
Wadau nilikuwa naomba kufahamishwa hizi gari aina Mitsubishi kuhusu upatikanaji wa spare, gharama zake generally . Nimetokea kuzipenda Mitsubishi RVR na Outlander.
Sasa isije kuwa ndio kama...
Habari naomba kuuliza mwenye kujua naweza pata wap hicho kifaa ni
Kwa ajili ya kufunga na kufungua mlango wa buti la nyuma kwa ajili ya gari aina ya Alphard
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.