Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life...
Ndg wana izengo habari za wakati huu.
Katika kuyaanza maisha wengi walianza na starlet kijichuma kidogo dogo very economy.
Hivi vimeishia wapi? Wengi walioanza na usafiri mara baada ya kuhitimu...
Bila shaka mfungo wa leo imekamilika salama yaani kwa Resma na mwezi mtukufu wa Ramadhani.Nisiwachoshe sana wakuu,mawazo yenu ni muhimu hapa kati ALPHARD na BREVIS kwa sifa ya
1.ubora wa injini...
Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa...
Hii ni gari aina ya toyota alteza. Gari hii kidogo naona soko lake linapotea kwa kasi sana sijajua tatzo ninini ila ambacho mlikua hamkijui katika gari hili ni kwamba. Wengi wanaopenda gari hizi...
Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu...
Wadau hizi gari unaweza kupata kwa bei gani kuanzia mwaka 2002 mpaka 2007.
Nimewahi kusikia kwamba unaweza kupata kwa bei nzuri kwenye auctions za NGOs ama Serikalini.
Mwenye kujua naomba info...
Habar za mida hii, fika mmechoka toka mihangaikoni lakin pia polen kwa mgao wa umeme unaoendelea.
Kama hapo juu mada inavyokieleza naomba kufaham, umuhimu wa CAR SECURITY SYSTEM, UBORA NA...
Wakuu ninaomba kuzifahamu kiundani hizi gari aina ya Toyota hybrid C-HR.
Hasa kwa mazingira yetu ya Kitanzania inaweza stahimili? Ubora wake, na matatizo yake
Salaam niliwahi kuomba kupewa sifa na tabia za gari la Subaru Impreza ila sikupata majibu, narudi tena humu wale wajuvi wa vyombo hivi vya moto kati ya Subaru Impreza na Premo ni nijue gari gani...
Wajuvi wa mambo,
Nipeni udambu juu ya hizo gari 2, okoeni ndoa yangu maana shemeji yenu akizimikiwa gari njiani atadai talaka. akikwama topeni ndio kabisa. kwa ufupi wife hapendi vigari sampuri...
Eeh.. ndio, wana wa Israel walitembea miaka 40 kutoka Misri hadi kufika nchi ya ahadi, sasa mimi na wewe tuna miaka arobaini tunatembea tu kwa miguu mpaka sasa na nchi ya ahadi bado hatujafika...
Weka pembeni mambo ya movies, haya mambo ya mauza uza yapo kitambo, yapo hata katika biblia na kuran na tumeonywa tusiyachukulie poa.
Sio stori ni vitu real hivi, upo zako kwenye safari mara...
Nimefungiwa rear camera kwenye gari yangu. Nami kwa kutokujua, niliondoka bila kujua kuwa huwa zinaonesha mistari miwili ambayo ni mpaka wa kitu kilicho katikati ya barabara.
Inanipa shida, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.