Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser...
Wadau,
Nimeulizwa na mdau gari yake aina ya dualis/qashqai ya 2011 J10 inachelewa kuchanganya. Yani akianza kuondoa gari inachukua muda kupata speed/mwendo anaoutaka.
Mpaka akanyage mafuta sana...
Wakuuu km mada inavyojieleza natafuta account ya bolt au Uber ya kukodisha au kununua nianze kuingiza mia mbili mia 3 nichek kuna donge nono 0787919909
Wakuu Habari za weekend
Gari yangu Aina ya Nissani teana 230jm inashida zifuatazo ambazo naomba ni share na wadau hapa mnipe mawazo
1. Check engine light iko on
2. Ukitembea umbali flan Gari...
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo...
Nimesikia balozi wa Tanzania nchini China anasema Yutong wanaleta karakana (garage).
Ukweli sijafurahishwa kwa sababu garage ni biashara ya Watanzania siyo kazi ya kuagiza nje.
Halafu haya mabus...
Habari za masiku wanaJF,
Kwa mda flani sasa nimekua nikifatilia swala la matatizo ya magari, na vyombo vya moto kwa jumla hapa, kwa sababu za kutoa ushauri - sio kw malipo, na pia huduma - kw...
Habarini wandugu,
Gari yangu ina tatizo niki apply brake basi usukani una vibrate sana na vimilio vya swiswiswiswi, vibration hii naihisi pia hadi kwenye mguu pale ninapokanyaga brake pad.
Tatizo...
Nina swali wazee, gx 110, nikiwa naendesha iko vizuri, nikipaki, masaa matatu au zaidi inanyonya betri, nimenunua betri mpya ila bado, wamecheki alternator lakini bado.
Mafundi ni kama wanaotea...
Wadau nimejichanga kiasi fulani cha pesa, ingawa hakitoshi kuagiza gari used Japan lakini naweza nunua ya mkononi hapa Dar walau nitimize ndoto yangu ya kutembea nikiwa nimekaa.
Naomba msaada...
Habari za leo wakuu.
Naomba kujua tofauti ya hizo gari mbili let’s say zote ni old model mf. 1995 moja ikiwa na injini ya 1hz na nyingine 1kz.
Na kwanini mtaani kuna tofauti kubwa sana ya bei...
Salaam Wakuu!
Nimemvua mtu IST yenye CC1500, nimempelekea Fundi aiangalie kama kuna shida, kaniambia hakuna shida matatizo ya kawaida. Ila aliyeniuzia akaniambia haina shida labda tu Service...
Wakuu huyo dogo aisam magari wa Mwanza mnazielewa gari anazouza bei zake au anatupiga na vip uiamara wa gari anazoziuza.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana...
Stabilization System ni mfumo maalum Kwenye chombo Cha majini Ili kukipa usawa kikiwa Kwenye Hali ya kutembea, bandarini au kikielea juu ya maji.
Stabilizer Kwa lugha rahisi ni sawa na suspension...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.