JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Waakuu habar zenu!, Gari yangu inatatizo la kuvuja maji, baada ya uchunguzi mdogo nimebaini maji hayo yanavuja sehem ya Radiator (RAJETA) ,Naomba kujua gharama za i/Ufundi endapo ataiziba...
2 Reactions
6 Replies
563 Views
Wakuu naomba msaada wa utofauti wa matumizo ya mafuta kati ya crown na cresta 1g kavu
1 Reactions
7 Replies
1K Views
NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎.. . Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua...
23 Reactions
22 Replies
9K Views
Gari ni Mercedes C200 Kompressor w204 inaandika autolamp function inoperative. Tatizo litakuwa ni nini?
0 Reactions
10 Replies
604 Views
Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
CEO na Rais wa Toyota Group ametangaza kuachia nafasi yake ya kuisimamia Toyota. Akio Toyoda ni mjukuu wa muanzilishi wa Toyota - Kiichiro Toyoda. Akio amekuwa President na CEO tangu mwaka 2009...
13 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za...
2 Reactions
2 Replies
575 Views
Wadau kama kichwa cha habari hapo juu, nina succeed juzi kati nikafanya service, nikataka kubadilisha AC AIR FILTER. Ajabu ni kwamba fundi ananiambia succeed hazina mfumo wa AC AIR FILTER. Mafundi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu 1.uimara wa gari kwa ujumla 2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri. 3.ulaji wa mafuta 4.udhaifu wake 5.kutulia barabarani shukrani wakuu.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa naona mada humu JF zikiwa zinaponda magari, kwamba magari kama Toyota Passo, Vitz, IST, Starlet, na n.k ni magari ya kike. Naomba wote wanaoamini kuwa kuna magari ya...
10 Reactions
246 Replies
33K Views
Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza! Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama...
28 Reactions
311 Replies
24K Views
Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading 1. IST. 2. Vts. 3. Toyota Altezza Gita 4. Carina TI. 5. Volts. 6. Suzuki. 7...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Naomba kutanguliza shukrani. Wana jukwaa nilikuwa naomba msaada wa bei za magari makubwa (Construction Equipment) 1. Foden (Tipper) 2. Mack Truck 3. Mistubish Canter (FE305B) 4. Eicher Tipper...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jamaa yangu alinipitia tuende somewhere kusherehekea sikukuu yetu ya Muunganisho wa Tanganyika na Tangapwani. Alikuja na gari yake mpya Toyota Rumion mwaka 2008 engine ya 1.8 actually hizi gari...
16 Reactions
102 Replies
11K Views
Wataalamu naomba msaada wenu, ningependa kujua kama kuna uwezekano wa kiufundi ili niweze kutumia Toyota engine yenye CC ndogo kama 990cc, 1300CC au 1500CC kwenye Rav4 au kwenye gari aina nyingine...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni 1. Toyota IST 2. NISSAN Dualis 3. Rumion 4. Forester 5. Harrier
8 Reactions
13 Replies
3K Views
Nahitaji kujua matatizo common ya hii Isuzu bighorn maaan kuna siku nimeibamba mkononi ilikuwa inatembea vzr ni comfortable nkatamani kununua ila mwnye nayo hakunipa matatizo common ya hizi gari...
0 Reactions
4 Replies
727 Views
Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana. Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa. Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom