Umiliki wa magari kwa sasa ni hitaji Muhimu sana kwa maisha yetu.
Na ni ndoto ya kila mtu kuwa na gari kwa sasa, kijana wa kiume na wa kike ukimuuliza katika "To do Goal" yake Kununua gari ni...
habari wakuu
gari yangu naisikia inagonga gonga kwa chini hasa nikipita kwenye barabara vumbi, ila kwenye lami sisikii ikigonga shida yaweza kua nini, gari ni nissan juke
Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.
Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina...
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika.
Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo.
Sasa siku akiamua...
Nanga ni kifaa kilichotengenezwa Kwa ajili ya kuzuia Meli isipelekwe na upepo au mawimbi pale itapokuwa imesimama endapo imemaliza safari, marekebisho au maegesho kwenye maji. Nanga ilianza...
Hello,
Mimi nataka kujifunza gari, anaejua bei ya kufundishwa na je ni sehemu gani mzuri ya kujifunza au kama kuna mtu anae weza kunifundisha aje pm tuyajenge nitampoza kidogo.
ELEWA AINA ZA MAFUTA YA BRAKE (BRAKE FLUIDS) NA MATUMIZI YAKE
Dot ni kifupi cha US depertment of transportation, dot inaonesha grades za brake fluid ambazo hutolewa na Federal Motor Vehicle...
Ikiwa unataka kujionea kwa wingi Landcruiser V8 tembelea jijini Dodoma, kila baada ya dakika 2 Lazima upishane na chuma jipya V8 LC300
NB: Kama biashara Toyota wameuza hapa Dom aisee
Wataalam Habari zenu
Mdogo wenu kiukweli nakutana na changamoto ya kwenda kwa fundi Kila baada ya muda Kwa tatizo la kuungua Kwa coil.. pikipiki yangu ni private siifanyii Biashara.
1. Coil ya...
Baada ya kujichanga changa hapa nimeona nivute chuma. Lakini siyo mpya nataka ninunue mkononi kwa mtu. Nilikua naomba ushauri wa gari zifuatazo kwa maana naona zinauzwa bei ndogo nikatia shaka...
Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model.
Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi...
Asilimia kubwa ya hapa kwetu wote tunatumia gari za Toyota.
ila kiukweli kuna gari zilizofanya vizuri na zengine zilifanya vibaya kama kichwa cha habari hapo juu.
Na kumbuka IST ilivotoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.