JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hii gari sijiu ilitengenezwa kwa ajili ya wenye uzito mdogo, mkitimia wote watu watano kana titia utazani umebeba magunia ndani. Gari laini sana kwa mazingira yetu mpaka barabara, unabadilisha...
7 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Kwa wakaazi wa jiji la darslam nauliza wapi naweza pata garage nzuri au wataalam wa gari za mistubish SUV wasio na longo longo.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari. Nimeombwa ushauri, na mie nikaona busara kupata mawazo chanya zaidi kutoka hapa JF. Ninaye jirani yangu ambaye anataka kununua gari jingine (naweza sema ku-upgrade) na kuliuza hili...
1 Reactions
95 Replies
15K Views
Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu authorized dealers au hata waagizaji wa magari kutoka USA kwa hapa Bongo.
3 Reactions
6 Replies
760 Views
Dear Wadau, Please kindly find the below snaps and Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION for your information and consultation. Kwangu reliability and durability kwenye gari are the...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji kununua betri mpya kwa ajili ya gari yangu ila ningependelea kampuni tofauti na hiyo chloride exide maana nimeitumia muda mchache sana ,kiufupi sijaipenda (au ni matumizi...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
kati ya toyota carina ti vs toyota allex,ipi imetulia 1.ulaji mafuta 2.upatikanaji spare 3.unafuu wa spare 4.kuhimili rafu rodi 5.uimara wa bodi,engine,gbox etc..
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Dear Wadau, Please kindly naomba ushauri hapa, the key inputs kwangu ni reliability and durability kwenye hizi engine kwenye Toyota Surf ya mwaka 1999. WHAT IS MOST DURABLE AND RELIABLE ENGINE...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Fb photos
20 Reactions
425 Replies
26K Views
Hii ni mojawapo ya kauli ama ushauri wa kipumbavu sana hua unatolewa humu JF magari kwa mtu anaetaka kununua gari. Mtu anamshauri mtu anunue gari halafu spear atakua anaagiza online ama Dubai...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wajumbe. Yeyote aliyekata carina ti au mwenye kujua wapi ntapta vitu vifuatavyo. 1. Ac compressor ya ti carina. 2. Dashbod(ile saa complete yenye odometer, rpm na gauge ya mafuta) 3...
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Sina mengi picha inajieleza. Na bei zake zipoje?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu Kampuni yetu inatoa mkopo wa magari ni gari aina moja tu nissan juke naomba nijue changamoto zake nianze kujipanga mapema kabla sijachukua hili gari nasika watu wanayasema sana haya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Kutokana na bei za magari zimepanda sana, nahitaji kununua gari used la mkononi/yaliyotumika tanzania lenye hari nzuri. Bei kuanzia mil 7 hadi 12. Wapi ntapata wanakokopesha...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Tairi zipo 2 rim ziko 4 Hali yake ni nzuri, zilifungwa kwenye Nissan Xtrail kimakosa so ndo nimezivua Bei ya rim na tairi complete laki 2 na nusu (kila moja) Rim pekee laki na 80 Mazungumzo yapo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF Kuna hii huduma ya kusafisha headlights jamaa wanaitoa ukungu zinakuwa na muonekano Kama mpya. Hivi usafishaji huu hauna madhara kweli kwa taa za Gari hapo badae?
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau naombeni msaada,namna ya kusafisha taa za mbele,kubwa za gari,jana usiku nimepata shida sana barabarani,mwanga ulikuwa mdogo na hafifu sana,alafu taa ya kushoto ina mwanga mkali kishinda ya...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom