Wakuu nahitaji kununua family car japo nilikuwa nikitaka kuchukua kati ya Noah au Toyota wish.
Mwenye uelewa zaidi wa Toyota Wish naomba anijuze uimara,mafuta na spares nisije kupoteza pesa zangu...
Gari za kununua mikononi kulingana na bajeti yako na kupata best bang kwa hela yako..!
2-5M
Corolla/Sprinter.. Gari simple na ngumu..
GX 100..ukipata yenye 1G Matumizi ya mafuta yatakuwa juu...
Hii hapa SUV Toka land Rover inaitwa free lander 2 nmekusogezea pamoja na ushuru wake ikiwa imeinuka sana basi huu ni mbadala wake badala ya kununua Bei kubwa 32 huu unaupata kwa 23m tu likiwa na...
Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My...
Tatizo la mafundi kukubali ukweli ni mgumu sana. Halafu wanapata pesa kwa kukadilra ndio maana wamelizika.
Mifumo ya magari sasa imebadilika ndio maana Nissan zinawashinda na kuishia kusema kimeo...
Habari wana JF poleni na Majukumu ya kazi, Naomba niende Moja kwa Moja kwenye point.
Jana nilikua katika daladala naelekea G Mboto lakini tulipokua tumekaa Mataa ya Buguruni dereva alianza kuwa...
Waheshimiwa wanajukwaa umofia kwenu.
Kwa heshima na taadhima ninaomba kufahamu changamoto zozote zinazohusu gari aina ya Nissan Xtrail? Mfumo wake wa umeme
Transmission ipoje
Anything pls...
Una uzoefu wa kuendesha gari highway usiku?
Embu nipe experience yako pale unapokuwa na gari ndogo kisha ukapishana na Lori ambalo limewasha full light.
Kile kipande cha sekunde chache...
Habari zenu wadau....bila shaka ni wazima wa Afya.
Kuna jambo linanitatiza naombeni ushauri wenu. Nilipanga mwaka 2023 angalau ikifika tarehe 01 January niwe na kausafiri kangu (Gari) walau...
Habarini wanajukwaa, gari yangu SUZUKI ESCUDO G16, Milango mitatu ASUBUHI ukiiwasha inawaka na KUZIMA, MPAKA urudie kama Mara kumi ndipo iwake na kukaa silence, na ukipandisha silence lazima...
Habari ya Majukumu Wakuu!
Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini.
Naomba Kueleweshwa...
Habari wana jf
tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue...
Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi...
Nina gari aina ya Nadia, shida kubwa ni kua sterling poweryake ni mgumu sana pale ninapokata Kona, Nmejaribu kuweka fluid, nmenunua Hadi Rek hamna mabadiliko, Shida ni nini? Kwa anahejua naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.