Wataalam,
Pikipiki yangu ni ndogo aina ya Sinoray 110, Full tank mafuta ni Lita tatu (3) tu.
Nilipoinunua ikiwa mpya nilikuwa naitumia hadi siku 6 kwa mizunguko yangu ya kwenda kazini na kurudi...
Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump...
Ndugu zangu habari,
Kama ambavyo utangulizi unavyo jieleza,nataka ninunue kati ya hizo gari tajwa hapo juu,naomba ushauri wenu na utaalamu juu ya hizo gari.
Asanteni sana hapo chini...
Wadau habari,
Nina kagari kangu ka vitz old model. Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mimi nipate kausafiri.
Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu...
Salama wanajukwaa?
Leo tutagusia baadhi ya gari za mizigo ambazo hupendelewa zaidi hapa nchini kwetu Tanzania. Tutaziangalia kuanzia ndogo kabisa kuelekea zile kubwa.
1. Suzuki Carry
Hizi ni...
Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf.
Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu...
Kumekuwa na promo nyingi sana kuhusiana na kampumpuni ya hellow hunter juu ya uuzaji wa hizi pikipiki zao zenye muundo wa boxer.
Nina mpango wa kununua pikipiki mpya mwishoni mwa mwaka lakini...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wadau tushirikishane kampuni nzuri na best inayomfaa mteja kuagiza magari nje ya nchi.
Na pia wale ambao wamewahi kuagiza watupe uzoefu wao na waliyopitia...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza watu wengi sana wamekua wakipata ugumu Hasa linapokuja swala zima la kutafuta mnunuzi au mtu anayetaka kukodisha gari yake. sasa leo Nitakufahamisha njia...
Heri ya mwaka mpya wana jamvi, nawatakia 2022 wenye baraka
Kwenye mada,naomba kuuliza inachukua muda gani kutoa gari bandarini baada ya meli kushusha, maana ni muda sasa tangu meli ishushe wakala...
Wajuzi mnaonunua magari mara kwa mara naomba uzoefu wenu hasa mnaonunua magari mikononi kwa watu
Leo Kuna Gari nilikuwa nataka kununua kwa mtu lakini Dalali kaja na mtu anayedai ni mmiliki wa...
Naaamini hapa kuna wataalamu na watumiaji wazuri wa magari mbalimbali, basi ukiwa kama mdau wa magari naomba ushauri juu ya hii gari make ya toyota model ya hilux surf... kiujumla kazi zangu ni za...
Kama title inavyosema. Huwa navutiwa sana na muonekano wa nissan juke. Na pia hazipo common sana kwa huu ukanda ninaoishi. Natamani kuagiza hii gari kabla huu mwaka haujaisha, kwa ajili ya route...
Kama ndio itakuwa mara yako ya kwanza kuendesha Gari hasa hizi za Kijerumani usipokuwa makini zinakuaibisha wazi wazi, mimi binafsi haya magari yamenitoa nishai kiasi chake, matukio yangu ni kama...
Salama wanajukwaa,
Nimejiangalia nimeona siwezi kununua land Cruiser amazon au jamii ya zile gari.
Lakini nimejiwa na wazo nitafute gar kama hiyo ambayo imekufa ninunue bodi lets say mil 3 au 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.