Wakuu ninatumia Premio f , cc ndogo 1490, kwa sifa nilizowahi kusikia kuhusu gari hii upande wa matumizi ya mafuta ni mdogo kama vile ist, ila kinachonishangaza nimeweke lita 10 ( mafuta ya elf...
Wakuu habari za kutwa,wazoefu na wataalam wa gari hii tunaomba mtuondolee ubishani huu kijiweni kwetu kwamba gari hii tajwa inatumiaje mafuta km ngapi kwa lita
.
BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo...
Wapendwa poleni kwa majukumu
Naomba kujua mambo ya msingi kwa gari tajwa hapo juu
1. Ulaji wa mafuta
2. Upatikanaji wa spea
3. Magonjwa ya mara kwa mara
4. Uimara wa gari hasa kwenye bara...
Nimeipenda hii gari, nipo njia panda kati ya cc 1.5 na 1.8! kwa mwenye uzoefu ni ipi ambayo nitakua comfortable kwa safari ndefu, wakati huohuo nitatumia mafuta kidogo, na itakua funny to drive...
Tumekuwa tukizoea kuona ndege zenye rangi nyeupe kwa muda mrefu na kila tuangalie angani karibu ndege nyingi haswa za abiria ni nyeupe, so ushawahi kujiuliza ni kwanini?
Iko hivi katika siku za...
Kama unajua mahali wanaweza paka rangi vizuri na KUNYOOSHA body vizuri sio kupiga piga na kupaka putty [emoji23] pia ku spry gari ionekane kama haijawahi pakwa rangi.
Usiniambie niende AZAM...
Nissan x-trail hybrid
Honda vezel hybrid
Gari zote ni cc chini ya 2000cc pia ni 4w drive
consumption ya hybrid si chini ya 20km/l so nashauri kama unataka kaagiza gari basi zingatia...
Ukilinganisha na ATCL nyie vyuma vyenu vimechakaa aisee. Wakati mwingine mnabania mpaka AC yaan pale mwanzoni wakati watu wana-board na kukaa ndege inakua OFF Tofauti na Ndege nyingine abria...
Hii Gari Ni cc 1990 tu lakini Ina space kubwa ndani na ni seat 7. Inafaa kwa kazi ngumu. Mpaka ifike Bongo ni 7,000 USD tu.
**Kuliko uhangaike na sijui Noah, Alphard mwishowe uonekane Mama Lishe...
.
Ilikua December Mwaka jana 2021 Ijumaa Usiku Boni alinitext WhatsApp, Akanambia anatafuta Toyota Harrier ya mkononi Tako la nyani yenye hali nzuri. Akasema budget yake ni Million 18 Net hapandi...
Msaada Kwa wataalam husika juu ya hili tatizo.hydraulic ilivuja ghafla,mafundi wakabadilisha hiyo seal kwenye gear box.Lakini baada ya kutembea masafa kidogo ikajirudia.Shida yaweza kuwa nini hapa...
Wakuu ni hivi, nilimwanga coolant yote kwenye rejeta, pia nikafunfungu koki kwenye injini na kumwaga yote. Halafu nikajaza upya kama lita 5 hivi, cha ajabu hata nikitembea km 10, nakuta maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.