JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Heshima kwenu wanajukwaa, naomba muongozo kwayeyote mwenye uelewa... Kuna gari ndogo cc1500 natarajia mwisho wamwezi huu itoke inchini burundi kuja hapa Tanzania, isajiliwe upya hapa Tz, sasa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau gharama ya statar ya Mercedes Benz c180 used. Fuer pump pia.
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari!, Naomba kujua Pros (+) na Cons (-) za gari Mercedes A170 W169 CVT transmission. Natanguliza shukrani
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu kwema. Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D. Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
4 Reactions
43 Replies
20K Views
Toyota IST ya 2005 kwenye dash board kuna check Engine light y Battery tatizo linaweza kuwa nini
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa. Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha...
21 Reactions
108 Replies
15K Views
Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepitia makala mbali mbali kuhusu cooling system za kwenye magari, baada ya kumpa jamaa yangu gari kwa zaidi ya miezi miwili ( nilisafiri mkoa wa mbali kikazi) Nimerudi baada ya kuchukua gari...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, gari yangu imeandika neno ABS Kwenye Dash Board na imejilock, nimejaribu kuwasha kwa push to start Button ila Haiwaki nimechomeka Funguo nayo imenasa humo, Naombeni Msaada wakuu.
8 Reactions
84 Replies
11K Views
Hii gari hapa inatokaje?
2 Reactions
3 Replies
501 Views
Naomba mwenye connection za makampuni wanaouza magari toka Dubai. Nahitaji bus na trucks. Aksanteni
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye kuijua hii gari , Nimetokea kuipenda saana, Spea,mwendo,Mafuta nk
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Salam, Moja kwa moja kwenye mada tajwa, naomba uzoefu wenu wa aina hii ya gari "urban cruiser" Kuna ambayo ni manual yanatumia diesel na kuna Auto yanayotumia petrol [emoji618] japo zipo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Naomba mwenye ufahamu anisaidie,nikitaka kununua gari ambalo lilisamehewa kodi ya serikali(Tax exempted) linalomilikiwa na taasisi kidini,Je ni nitapaswa kulipia ile gharama ya kodi...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
habari zenu ndugu nnahitaji gear box ya manual na vikorokoro vyake vyote. gari ni corona premio 7afe ya 1998. mawasiliano...0710882764
1 Reactions
5 Replies
743 Views
Kwa yoyote yule anejua sehemu naweza pata usukani wa gari ndogo muundo wa Airbag uwe mpya au used, kuna chuma nimenunua wakora walipora usukani.
4 Reactions
22 Replies
1K Views
niajee mazee gari gan hapaa naweza kununua hizo ni choice zangu nilishawahi ku drive forester mwaza la msela bonge la chuma xoo talanta niweke wap mafuta na capability n muhim kwa watalam uwanjaa...
1 Reactions
94 Replies
34K Views
Wakuu natumaini ni wazima naomba kufahamishwa ipi gari nzuri kati ya vanguard na harrier in terms of comftability, matumizi ya mafuta. Usalama zaidi wa gari kwa safari ndefu.
4 Reactions
33 Replies
10K Views
Habari wazee wa kazi. Nahitaji hicho kidubwasha pichani, gari ni toyota rush engine #3sz Mwenye nacho au access asisite kunicheki hapa 0758 534 914
1 Reactions
4 Replies
663 Views
Back
Top Bottom