Aina ya gari ninalotaka iwe noah old au rav 4 old, au suzuki Escudo.
Naomba kujua ipi inafaa kwenye rough road sana. Na ipi ni nzuri kati manual na automatic.
Wakuu habari za jioni!
Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha...
Wakuu, nataka nichukue kindika cha kufanyia Uber niachane na ajira hizi za manyanyaso.
Nataka kujua kwanza wateja wengi wanapenda au kuwa comfortable na gari ipi wanapotaka kutumia Uber.
Nataka...
Kiukweli unaweza usione faida yoyote lakini faida ipo tena kubwa tu.
Kuna faida kuu mbili
1. Gari ina accelerate faster
2. Gari inakuwa na matumizi mazuri ya mafuta.
Tuachane na gearbox za...
Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,..
.
Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na...
Nimeona mabango mengi yaliyowekwa na TANROADS kwa ajili ya tahadhari yanatanguliwa na maneno yenye herufi kubwa yahusuyo TANROADS badala ya kujikita kwenye kutoa tahadhari.
Naomba wafikirie...
Magari ya kisasa yana dhana ya Kizimba/Ngome: ikimaanisha sehemu ya abiria imetengenezwa kwa chuma chenye nguvu zaidi kuliko magari ya zamani, hivyo basi hadi huduma za dharura zinahitaji mafunzo...
Moja kwa moja kwenye mada,je hizi usukani wa airbag gari ndogo za Toyota zinaingiliana na mpya mfano wa RV4 ni shilingi ngapi?,au used wenye ubora inaweza kuwa kiasi gani cha pesa
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English.
Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi...
Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022
Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya...
Nna gari aina mark x inasumbua sana tatizo la starter na power steering. Hasa starter. Jinsi lilivyo ukiliwasha Majira ya asubuhi litawaka vzuri ukitembea kuanzia kilometer 40 kuendelea au ukikaa...
Welcome to the Formula 1 official thread.
Anything related to F1, you are welcome.
Teams:
1. Red Bull Racing
2. Ferrari
3. Mercedes
4. Alpine
5. McLaren
6. Alfa Romeo
7. Haas F1 Team
8. Alpha...
Wajuzi naomba ushauri baada ya kujichanga na ni mpya ktk kumiliki usafiri. Lipi gari zuri kwa matumizi private, ukizingatia uchumi pande za spare, durability, running expences kati ya prado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.