JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau hebu nisaidieni, gari yangu ya IST ya mwaka moja tu toka niagize inatoa mlio kama lori huku moshi ukiwa una harufu kama Petroli mbichi. Kuna baadhi ya watu wameniambia huenda wajanja...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari, Gari yangu Toyota IST 2002, nikiwasha AC inazima, hasa ikiwa inatembea mwend mdogo sana. Nini kinasababisha hili tatizo?
5 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wadau. Nilipita mtandaoni kumchekia ndugu yangu gharama za kuagiza gari yake binafsi. Sasa nimeingia katika calculator ya TRA naona vitu tofauti kabisa. Sehemu za kujaza zimeongezeka na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau nimeona mpaka EAM tena huku mkoani kabisa kulikoni namba E inakimbia hivi ni watu wananunua sana magari au walificha magari walipoona namb D inamalizikia au ndio maisha bora kwa kila...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau wenye magari habari zenu, heri ya xmass na mwaka mpya. Naomba kushea na ninyi jambo lililonikuta katika pitapita zangu katika magereji mbali mbali hapa Dar es salaam. Nilikuwa na gari...
14 Reactions
46 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu natumai muwaziwa wa afya. Nikijikita kwenye mada husika ninaposema pikipiki za kichina hapa namanisha KINGLION, FEKON, SINORAY, HAOJUE n.k. Maana kwa huku mkoani hizi ndio...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
Use of Lights........... There are different types of lights in a vehicle, which are intended to be used in different situations. As a driver, it is very important for you to know the...
4 Reactions
9 Replies
640 Views
. If you have a breakdown, think first of all other road users and - a) Get your vehicle off the road if possible; b) Warn other traffic by using your hazard warning lights if your vehicle is...
3 Reactions
3 Replies
398 Views
Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump. Hata bei zipo...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wakuu Kwa bajeti ya milioni 10 hadi 11 naweza pata gari gani show room .Hapo unatia funguo tu na kuondoka habari za kodi zisiwepo . Au nicheki kwa 0713 039 875
1 Reactions
8 Replies
1K Views
2023 BMW XM Specs: Engine: 4.4l plug in hybrid with combined power of 740 hp 0-60= 4.1 s
3 Reactions
7 Replies
721 Views
Habari wakuu, nahitaji kununua hii gari Toyota(ist)nafahamu kuna za cc1200 na cc1400, lakin nimeambiwa niwe makini hiz za cc1400 nyingi ni zina option ya 4WD na baadhi hazina, so naomba msaada...
0 Reactions
69 Replies
18K Views
Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanajukwaa heshima kwenu. Katika pilikapilika za kujiajiri kuna kipengele nimekwama, nahitaji tolori bora kwa ajiri ya kubebea zege, je ni wapi naweza kupata tolori imara? Maana kuna moja...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Naomba kufahamu sehemu ninakoweza kupata vipuri vya gari aina ya Toyota Fielder. Vinahitajika mjini Mwanza.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu Habari. Nimekuwa nikipaka rangi kwa mafundi wa hapa na pale kila ninapopata tatizo la body ya gari. Hii imepelekea gari kuwa na rangi tofauti tofauti mfano mlango unakuta rangi imekolea...
4 Reactions
43 Replies
19K Views
Nimenunua gari aina tajwa hapo juu,je kwa kawaida gari hii ikiwa smart haina usumbufu,hutumia liter moja kwa kilometres ngapi?,msaada tafadhali
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu,moja kwa moja kwenye mada. Mimi Napenda Sana hili gari Aina ya Toyota ipsum old model,yaani hii gari ipo moyoni sio siri. Naomba kujua bei yake kutoka Japan mpaka Dar au kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nina passo 1kr piston 3 mwaka wa 2 na nusu naitumia na safari zangu ni hapahapa town ila nimegundua kwamba inakula lita 1 kwa km 9. Nadhani kwa passo labda inakula km 15 kwa lita ila naona...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom