Habari, wadau nnaomba kuwasilisha hapa jukwaani, kuna aina mbalimbali za trekta hapa bongo, nimeona watu wanazungumzia sana Holland, Ford, Sonalika, Swaraj na mengineyo lakini sijaona sehemu...
Msaada tutani, ninahitaji kubadili engine ya gari yangu, sababu kuu ni kuwa nahitaji niifanye iwe gari ya biashara niwe naletewa hesabu kwa siku, engine nilonayo Ina CC 1790 na inatembea 5KM/L kwa...
Wazee kuna hii chuma ya Mitsubishi Motors naona imeanza kuingia mtaani kwa ukali sema experience nilionayo kwa hawa jamaa toka enzi za Pajero mpaka RVR chuma zao zilikuwa nyanya sana japo zina...
Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
Habari wana JF nauliza nikitaka kuagiza spare Online mfano Ebay , amazon, nikiagiza na mfano ni free shipping nitakuja kulipa tax tena Tanzania??? Na je kwenye kupokea napokea wapi mzigo...
Huwa naona maneno hayo yameandikwa kwenye trela za magari makubwa naamini wengi wetu tumeona pia.
Yawezekani ni kichekesho ila kwangu naona kuna maana kubwa kwenye huo msemo suala ni uimara wa...
Wasalaam ndugu zangu.
Aiseh haya maisha akili ni kitu ambacho hupaswi kukosa kabisa.
Kifupi niko na pikipiki tatu zote za mkataba. Kuna pikipiki moja ina mwezi wa tatu sasa, lakini imekumbwa na...
Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza.
Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️
Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery...
Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au...
Kuna gari nimeipenda sana nataka nimwagizie wife.
Mazda CX-5 nzuri sana mwonekano.
Je wataalam upatikanaji wake wa spear ukoje?
Au kuna mtu amewah kuimiliki anishaur pls
Hongeren kwa majukumu wadau wa JF garage
gari yangu ni Noa Old model, ya mwaka 1998. Siku za hivi karibuni imeanza kutoa moshi mara ninapoiwasha hasa asubuhi, huwa inatoa moshi kwa dakika kadhaa...
Kuanzia Lamborghini hadi Rolls, watengenezaji wa magari hawakati tamaa linapokuja suala la kutoa magari ya kifahari na maridadi zaidi ulimwenguni.
Class, muundo ambao haujawahi kuonekana, injini...
Siku hizi madalali wamekuwa wengi sana mtaani tena kwa maeneo kama Dar ndio usiseme kila mtu ni dalali. Hii hupelekea tofauti ya bei za magari baina ya dalali mmoja na mwingine.
Unaweza kuta gari...
Habari jf
Naomba msaada Ni Mambo gani ya kuzingatia unapoanza kuendesha gari Mjini posta kariakoo na maeneo mbalimbali Mjini Kama dereva wa bolt na Uber ..
Karibuni Sana.
Habari wakuu.... mwenye kufahamu ulaji wa mafuta kwenye Toyota Allex yenye four wheel drive anijuze.... na je four wheel drive inakuwa muda wote au ni option unachagua wewe mwenyewe.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.