JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu mafundi na wengineo kiujumla ...msaada tafadhali ..nina boxer 150 usiku nikipak nje na wakati wa baridi inasumbua sana kuwaka pia ikinyeshewa mvua ...... inasumbua sana kuwaka...msaada nini...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu mambo vipi? Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi. Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi...
6 Reactions
109 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nimenunua ki Gari fulani hivi bibayabaya ambacho kinaweza kunitoa sehemu moja kwenda nyingine kihistoria mimi sijawahi kumiliki gar hata mwaka...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele Jf ... Naona bado asilimia fulani ya watu wapo kizani, kwenye suala zima hili la gharama mbali mbali ambazo watapaswa kugharamia mbali na ushuru wa TRA kwaajili ya magari yao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nina pikipiki yangu skymark winner inakunywa mafuta kama jini, naombeni ushauri.
0 Reactions
3 Replies
678 Views
Hbari wana jf, kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Ilo la upande wa kulia. Nicheki kwa 0746243817
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Nisaidieni wadau Rav4 hii iliendeshwa na learner ikaingia mahali ikaatamia kifua (sijui wenyewe wanaita hivyo). Dereva akawa analazimisha kuitoa kwa kukandamiza sana mafuta ikashindikana...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Toyota ist Vs Toyota altezza.
0 Reactions
73 Replies
22K Views
Habari zenu wataalam wa magari, nilikuwa naomba mnipe mwanga kama hizi engine zinafanana,,, G kavu hizi hapa je zinaingiliana na 3s 1G-E 1G-EU 1G-FE 1G-GEU 1G-GE 1G-GTE 1G-GP/GPE
1 Reactions
1 Replies
844 Views
Namba mpaka leo hii zimefika T 100 EAG. Unahisi itachukua muda gani kufika T 100 FAA tukiangazia kipato cha Watanzania kumiliki gari na uchumi wa dunia unavyoenda. Na wewe ukakamatia ndinga ya...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu ni kweli kabisa napenda sana gari zenye turbo kama vile Subaru au gari ndogo yeyote ambayo imefungwa turbocharger Tatizo sina uzoefu nazo hasa katika...
3 Reactions
105 Replies
34K Views
Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja. Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye...
4 Reactions
192 Replies
55K Views
Kama mada tajwa hapo juu natafta nose tourch ya Corolla touring 1998 mwenye kujua jinsi ya kuipata au kuwa nayo. Naomba kuwasilisha
1 Reactions
5 Replies
551 Views
Jamani wajuzi wa hizi pikipiki naomba msaada wenu NB: sio Kwa ajili ya bodaboda, ni ya kutembelea tuu
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Naomba ufafanuzi wa taa ya ABS Imewaka hata sijui gari ina shida gani. Nimejaribu kugoogle nimepata maelekezo ila nahitaji msaada wa watalaamu zaidi. Nini madhara ya kuendesha gari taa ikiwa inawaka?
1 Reactions
25 Replies
20K Views
Habari zenu wanajamii. Mwenye gari Suzuki Escudo old model au RV4 old model nahitaji. OFA yangu milion 5 itaongezeka kutegemea na ubora wa gari. Wale maboss wa namba E mtupeni hizo namba D na C...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba ufafanuzi gari yangu ni aina ya wish cc 1700 ina 16 valves, sasa hizi valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Samahani kwa usumbufu hapa kidogo naomba niulize swali hapa kwa wale unaojua. Nataka ni nunue Volkswagen t roc 2018 hii gari ni nzuri san imetulia na ulaji wake wa mafuta ni wakawaida san sasa...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom