JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu. Ninahitaji kuagiza gari nimejaribu kufuatilia mtandaoni nimeona kuna kampuni tofauti kama beforward, sbi nk. Napata changamoto maana nikiangalia bei zao ziko poa ila ukiangalia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia hili jambo kwa muda mrefu ila majibu niliyokutana nayo yasiyo na shaka ni kwamba elfu i, haipo kwenye usajili wowote wa magari hapa tz . Unaweza kukutana na alfabeti zoote ila...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari JF garage! Naomba kuuliza Mambo gani ya msingi Unatakiwa kujua Mara tu unapenda kununua Bajaj. Service Vifaaa Kama triangle na fire extinguisher. Na Mambo yote ya msingi hasa Bajaj ikiwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu .... Lengo la mapambabo nikuhakikisha kesho inakuwa njema kwa kika mmoja maana ndo ombi leti kila iitwapo leo . Naomba mwenye ujuzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Anayetaka gari ya kazi achukue hii ISUZU Bighorn, 3,050cc, diesel, 234,000 kms. Gari ngumu Sana na ipo juu inapita popote . Bei 2,500 USD (CIF) mpaka Bandarini Dar
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Niliuziwa pikipiki na serikali. Sasa Nataka kuisajili Binafsi. Nimeshapata hati ya mkaguzi wa na gari [Vehicle Inspector] kuidhininisha kuuziwa/kuinunua. Je hatua gani inafuata?
1 Reactions
6 Replies
672 Views
Msaaada wenu, Niko mkoani barabara za vumbi naitaji kununua gari kwa ajili ya familia na binafsi gari iwe naulaji mzuri wamafuta pia iwe na muonekano mzur na pia uimara wa body.
4 Reactions
82 Replies
16K Views
Wanajf , nawasalimu. Leo tena ningependa tukumbushane mambo haya ya msingi kwenye magari yetu. Ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa matumizi makubwa ya mafuta au ya wastani. Moja kati ya njia...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninahitaji gereji nzuri ya gari aina ya Nissan iliyo mjini Bukoba, Geita au jijini Mwanza. Natamani iwe yenye wajuzi wa kutengeneza gia boksi na injini.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Babywoka yangu (IST/Passo) Tatizo la kwanza limeanza juzi: Nimerudi jioni home, nikapaki nikaingia ndani. Usiku nikawasha gari nilisogeze getini nikashangaa 'Parking' gear haioneshi kwenye...
8 Reactions
70 Replies
8K Views
Nimenunua gari DSM harria ya mwaka 2003. Naomba kujua gharama ya kusafirisha kwenda Mwanza. Mafuta lita ngapi? Dereva analipwa bei gani kulipeleka Mwanza. Ipi rahisi kuliendesha au kulipakia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
namba mwenye uzoef na hii gari, naona inafafana na toyota wish, nimeiwazia toyota wish, ila sijaipend pua yake/face, naona honda stream inavutia zaidi. Naomba mwenye uzoefu atiririke hapa, ili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu.. nataka kukasukuma ka ndinga kangu sasa kwenye kubadili kadi maana nilikafanyaga uber kadi ikawa ya kibiashara so nataka kukarudisha kad ya private. Nimeambia niwe na document ya...
1 Reactions
4 Replies
430 Views
Hebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia! Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira (Side Mirrow) unategemea nini? Vile...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari...
15 Reactions
135 Replies
14K Views
Baada ya mafuta kupanda bei mara dufu, nimeamua kuuza Brevis yangu kwa mil 6 kwani ilikuwa inakunywa sana mafuta. Nimeamua ninunue pikipiki na chaguo langu ni Kinglion. Sina uzoefu sana na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wakuu naomba msaada wenu,nakerwa sana Gari yangu ni RunX huwa inatabia ya kujizima nikiwa barabaran,imenisababishia ajali mara moja na zingine nanusurika tu kwa maana gari hujizima nikiwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mtumiaji wa Oil za Castrol kwenye magari ya Ulaya na Japan. Juzi nilikuwa natafuta oil ya Castrol 5W30 Edge Full Synthetic kwenye filling stations za PUMA sikuweza kupata, sana sana...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Suzuki Vitara Suzuki has a long history of producing cheap, cheerful and quirky machinery, and Australia has been a happy hunting ground for the small Japanese company. A flood of new products in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom