JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Leo nimeamka na hili gari kichwani. Nafuatilia reviews youtube hasa Mini Cooper Countryman. Kama kuna mtu alishawahi miliki au kuendesha hili gari njoo tuchat.
3 Reactions
67 Replies
14K Views
Wakuu poleni na kukosa kazi ya sensa,,, Napenda kujua tofauti kati ya gari ya short wheelbase na Long wheel base (kwa lugha ya kitaalam) kwa gari aina moja tukiachana na muonekano ipi tofauti...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi? Natanguliza shukrani.
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Tujuzane, huku tukiendelea kusubiri sherehe za namba E mwezi huu mwishoni August ama September, 2022.
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenu Rafiki yangu anataka kununua gari lakini hataki kununua gari iliyo na Kimo cha chini. Anataka gari yenye kimo cha NISSAN DUALIS. Hii ni kutokana na kuishi maeneo yenye miundombinu...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Katika pita zangu nikakutana na jamaa yangu akaniamboa amefanya maintenance kwenye mfumo wa umeme wa gari hasa ule unaoingia kwenye plugin gari imepunguza consumption ya mafuta kwa kiasi kikubwa ...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari JF Kuna kijana wangu amepata Bajaji ya mkopo. Sasa Kuna kijiwe huku kigamboni gharama za kujiunga Ni 50,000/= Na mzunguko wa kawaida Sana. Lakini anasema kupitia Bolt na Uber Ni bure...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau wa JF naomba nijuzwe kwa ufasaha, kodi ipi ni kubwa, kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan, na gari used japan, mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme. Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu... Mfano kwenye engine tu peke yake, Mfumo wa...
6 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema wadau. Ninataka kufahamu bei ya Engine used ya Toyota Verosa ina uhitaji wa haraka sana.
1 Reactions
1 Replies
552 Views
Wale wenzangu na mimi tuliokuwa tukisubiri kwa hamu hatimaye muda umefika sasa [emoji4]
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawasalimia kwa jina la JMT. Ndugu yangu anatafuta gari ya kununua mkononi, lakini iwe gari iliyonyooka. Kaoneshwa gari na madalali, inaonekana kaipenda, lakini kuna vitu kama ana mashaka navyo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Engine ya gari huwa inakuwa na njia za hewa. Inaweza kuwa hewa na kawaida, moshi, fumes za tank la mafuta, n.k. Endapo njia hizi za hewa zitaanza kuvuja[leak] huwa inaweza kusababisha matatizo...
7 Reactions
5 Replies
2K Views
I need to know everything about this car
0 Reactions
50 Replies
17K Views
Habari wa jamvi nimekutana na swali kwenye usaili sehemu fulani nikabaki nashangaa maana sijawahi Kutana nayo kwenye barabara za Tanzania sasa naomba mwenye kujua atusaidie wengine tuelimimike...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sijui kama hili ninaliona mwenyewe au la. Nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Katavi. Njiani nimepitwa na magari ya serikali yakiendeshwa kwa mwendo kasi, overtake za hatari, wrong site na taa...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Afya ya engine ya Gari lako. Je, unajisikiaje ukinunua gari baada ya muda mfupi sana ikakulazimu ufanye overhaul ya engine? Ili tuseme engine ya gari ina afya[engine mechanical health]...
16 Reactions
13 Replies
3K Views
Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin. Je ni kitu Gani...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom