JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Greetings wadau wangu, Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta kijana mwenye utaalam wa kuchanganya Rangi za magari .nipigie 0713454603
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau poleni na majukumu. Ninahitaji gari Toyota succeed, 2 wheels iliyotumika hapa Dar, yenye hali nzuri. Bajeti yangu ni 7mil. Mwenye nayo tuwasiliane 0624 210 241
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Wakuu kuna mdau yupo kwenye IST ila kwa sasa anataka abadili kutoka IST hadi kumiliki kati ya Harrier au Klugger. Kwa namna ambavyo wajuzi mpo humu naomba tumsaidie mdau, je ni gari gani kati ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu...
21 Reactions
181 Replies
19K Views
Habari zenu wana janvi. Kuna ishu imenipata ninataka ku repair gari yangu katika kupaka rangi na kunyoosha body ikae sawa, irudi mpya( gari yangu ni Toyota Verrosa, silver) ni sehemu ndogo ndogo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Gari yangu ni Toyota Kluger, Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana Sasa...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama Heading inavyosomeka,tupendekeze route Mpya ambazo zinahitaji usafiri wa mabasi kwa kuanzishwa route Mpya au kuongeza idadi ya mabasi. Mimi napendekeza route zifuatazo, Mbeya-Kahama via...
5 Reactions
86 Replies
4K Views
Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto Nazungumza haya kwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Safari ilikuwa tar 11 Dec kuamkia 12 Dec Gari, Toyota Allion 1.8L Wese la laki 2 tu Dar_Shy Safari ilianza saa 12 jioni, hadi saa 12 alfajiri. Wadau wengi nilikutana nao barabarani, wakienda...
10 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
0 Reactions
4 Replies
550 Views
Gari yangu juzi nligongwa na boda shavu la mbele mkono wa kushoto baada ya mlango wa abiria mbele, nikapeleka jana garage ili wanirekebishie, sasa mm huwa siwaamini kabisa mafundi so huwa sitoki...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu mdada Yuko njema sana nilikuwa napita pita YouTube nikaona vids zake Piloti Bambi Inaonesha Ana ulewa sana na hayo maswala kakulia huko, check it out hizo vid utaziona kwa ukaribu...
0 Reactions
2 Replies
652 Views
IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Specs. Engine: 6.5L Natural Aspirated Engine. Power: 715 HO 0-100 kph in 3.3s Price: € 390,000.
3 Reactions
6 Replies
563 Views
Kuna baadhi ya watu wanamaliza mikataba na bado Vyombo vyao vinakuwa imara kabisa Sasa ndugu zangu ni mambo gani ya kuzingatia ili kutunza Bajaj Karibuni Sana
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Naomba kufahamishwa kuhusu aina hii ya Plate number hapa Bongo
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari viongozi, Naomba mwenye ujuzi wa Toyota Prado tx 3rz, kuhusu ulaji wake wa mafuta. Mjini inatumia lita 1 kM ngapi? Na high way lita 1 km ngapi? Na kama inakula zaidi mafuta tatizo...
4 Reactions
12 Replies
10K Views
Morng Gari aina yo forester ni gari ambayo inaongoza kwa kusajiliwa kwa wingi kwenye namb mpya hi E Ina maanisha kwa sasa ndio gari pendwa kuwahi tokea. Nimemaliza
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom