Habari wakuu
Leo katika pilika nmekutana macho kwa uso na Rumion new model,mitaa ya mwenge baadae nkakutana nayo tena mikocheni.
Mwanzo nlizani ni toyota Ipsum kuchek nyuma ni Rumion
Ina shape...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa muda wa siku 7 mpaka 14
ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote...
Wakuu poleni na majukumu ya utafutaji lakini pia nawatakia sikukuu njema na Familia zenu.
Wakuu Nina budget ya 4M hadi 5M nataka bike imara yenye uwezo wa kutembea long distance hadi 150 km with...
Habari wakuu,
Juzi nimeona Clip ikionyesha Toyota Crown yenye 2.5L na Top Speed ya 260km/hr, Tumezoea Magari haya wakiyadisi kuwa yana nguvu ila Top Speed yake ndogo (180Km/hr), hivyo naomba...
Habari,
Naomba kujua ni gear box oil gani ni kwa ajili ya pajero mini snoopy edition. Nataka nibadili ila deep stick haijaandikwa chochote. Msaada kwa ushauri au source ambayo naweza pata uhakika...
Wakuu habari za Asubuhi. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naombeni kujuzwa na kuonyeshwa mahala hicho kifaa kilipo kwenye engine ya Gari a in a ya Spacio New Model Kama nilivyoambatanisha na...
Kama mada inavyojieleza wakuu nilinunua gar mkonon baad ya miez ikaanza kutoa moshi na oil nilibadili xxa nikaamua kushusha Engine nzimaa kwa fundi maiko ikatulia gari Ikawa nyepes ulaji wa mafuta...
Wakuu, salama?
Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60.
Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri.
Vile mimi sio mtaalamu wa...
Zote zikiwa na hali nzuri
Rav 4 2az engine
Less than 100000km
Prado 2000
Km 120000
Hapa tuzungumzie only
Durability
Spare parts
Changamoto zake .
Matumizi ni town trip km 20 daily
Na longtrip km...
Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida?
Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
Wakuu habarin.
Block yangu ya pikipiki boxer 150 inatoa moshi sanaa ...sasa fundi kaniambia block imetanuka....sasa nimetafuta spear nimekosa nimepata ya Yog ya kichina for BM 150
Je, ni imara...
Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake, mfano accelerator wire, spare za vipuli vya engine n.k kuna mtu anaweza kunisaidia naweza kupata wapi
Bila kuwachosha, niende kwenye mada.
Nimetokea kuipenda sana hii gari, na ninataka kuinunua.
Lakini kabla 'sijajilipua', ningeomba mawili matatu kuhusiana nayo kutoka kwa wataalam wa magari au...
Habari wakuu,
Wapi naweza kupata vioo vya site mirror ya IST vioo vyangu watoto wa mtaani walirusha jiwe kikapasuka
Site mirror ni nzima, kioo ndio kina tatizo
Heshima kwenu Wakuu! Hapa kati nimejichanga kama $ 13000 hivi nikaona sio mbaya nitafute SUV kwa ajili ya Safari za Porini hasa siku nimeamua kutembelea mbuga za wanyama.
Katika Pita pita zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.