JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hellow, khabar za saiz wakuu, Naomba kujua ghalama zote (kuanzia cost za kununua, bima etc) za hii chombo. (Haojue EH 150) na mwenye specification zake [emoji120][emoji120]
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Specs: 2.4litre naturally aspirated engine Hp: 240 Torque: 184lb-ft 0-60 in 6.3 secs Price: $29,000
7 Reactions
79 Replies
5K Views
Habari JF Mimi ni dereva bajaji, sasa nimeona kutegemea chanzo kimoja cha bajaj ni changamoto Nimeamua kutafuta hili wazo la kuuza oli hasa M-GAS na TOTAL. Kwa bei ya jumla ili na mm nipate...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana Jf, kama kichwa cha habari kinavosema, matokeo ya kidato cha nne yametangazwa leo hii.. pongezi kwa necta kwa kuondoa rank uchwara na pia kwa kujitahd kurudisha hadhi ya baraza baada...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
BABY WALKER Imezoeleka humu jukwaani magari mengi madogo kuitwa baby walker sana sana gari za Toyota kama IST,Vitz na Passo. Lakini leo nitatoa maoni yangu kuhusu hizi baby walker. Ukifuatilia...
4 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nimenunua gari mwaka jana mwishoni but leo hii limeanza kitatizo kidogo inachelewa kupokea moto mpaka niikanyagie vizuri mpaka chini ndo inapeleka moto vizuri, shida inaweza kua nini...
0 Reactions
4 Replies
480 Views
Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW. Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni...
21 Reactions
149 Replies
13K Views
Mimi ni msichana nina umri wa miaka 23. Nimemaliza chuo nikaona ngoja nisomee udereva driving school moja hivi hapa Dar. Sasa hapo wanafunza manual tu. Mpaka sasa nina week moja, tushafundishwa...
7 Reactions
56 Replies
13K Views
Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa...
2 Reactions
6 Replies
541 Views
Ndg wa JF napenda kupata maelekezo na uzoefu juu ya hii gari tajwa hapo mie nimeona ni nzuri kwa muonekano ila napenda piakujua undani zaidi has kwenye upatiaknaji wa spare zake stability yake...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Wakuu kwema? Mm ni muumini mkubwa wa haya magari ambayo yana perfomance kubwa na nzuri hapo road, pia kwa maswala ya masafa marefu Hii ni list yangu fupi ya highly perfomance car: 1–subaru...
6 Reactions
174 Replies
11K Views
American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi. Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika...
11 Reactions
96 Replies
6K Views
Nina gai aina ya Nisan Dualis nikiwa naendesha inajizima ghafla mpaka niizime kisha niwashe tena ndio inawaka, naomba kujulishwa tatizo lake ni nini?
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Niaje wadau, Naombeni Msaada gari yangu kila nikipita kwenye rough road inapiga sana kelele kwa ndani, lakin kwenye lami inatulia. Kupiga kelel kwake inakua kama inagonga.. Tatizo itakua ni nini.?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari JF Mimi ni dereva bajaji, sasa nimeona kutegemea chanzo kimoja cha bajaj ni changamoto Nimeamua kutafuta hili wazo la kuuza oli hasa M-GAS na TOTAL. Kwa bei ya jumla ili na mimi nipate...
1 Reactions
1 Replies
466 Views
Habari wataalamu kwa wiki kama mbili nimenotisi kitu kwenye gari yangu. Nikiwasha asubuhi. Inakuwa na kamlio fulani kwenye engine ambapo kanapotea baada ya dakika kama mbili au tatu gari ikipata...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti. Na kama vp...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu... Nimepata changamoto ya oil ya gearbox kuvuja kwenye Carina Si, nimepeleka gari garages tatu tofauti, wote wamebadilisha oil seals, tukafunga mpya, lakini bado tatizo lipo...
0 Reactions
5 Replies
758 Views
Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
4 Reactions
9 Replies
898 Views
Back
Top Bottom