Wadau uzi wa ku share experience yako kwa mara ya kwanza ku drive high ilikuwaje.
Kwangu binafsi ilikuwa shida sana katika ku overtake yaani nilikuwa naogopa sana ila nilikuwa nikukuta road iko...
Labda kwa kuanza nieleze kisa kilichomkuta jamaa yangu.
Jamaa ana Subaru Forester 2006 2.0L
Usiku wa kuamkia 9 january 2023 zilinyesha sana mvua na kuna maeneo mjini yalijaa maji, sasa bahati...
Habari wakuu, katika kuupiga mwingi ndugu yenu na mimi nimeguswa na upako wa Bi mkubwa, sasa hizi million tano nilizo otea naombe mnishauri nitafute gari gani used.
1. Naishi mjini full rami...
Wakuu heshima kwenu, Jamani gari yangu salon ninabadili s plug kila wakati kwa ushauri wa mafundi lakini haichukui muda inaanza tena miss za ajabu, nimemwaga oil ila tatizo bado. kwa yeyote mwenye...
Msaada hio compressor inaunguruma kama nyuki nikiwasha gari. Baada ya kuanza kuunguruma hivyo sipati tena ubaridi ndani. Sasa sijui kama compressor ndio imekufa au inawezekana kutengenezeka au...
Habari Wanajamvi,
Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima.
NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
Hawa jamaa ni wabunifu saana, sijui wamejifunza wapi hii kazi, maana kazi zao kwa kweli ni level nyingine.
Sio kazi tulizozoea kuziona kwa mafundi wetu wa mtaani.
Wanatengeneza seat covers...
Kwanza kabisa naomba radhi kwa sababu thread kidogo ni ndefu. Lakini ni muhimu kuisoma kwa sababu inaweza ikaokoa gharama kubwa au hata kuokoa maisha yako.
Sasa tuendelee..
Watu wengi wakienda...
VTS ni mfumo wa kisatelaiti wa ufuatiliaji mwenendo wa magari barabarani. Mfumo huu unafanana sana na ile mifumo ambayo wengi wameizoea kama Car track au U-truck.
Mfumo huu kwa sasa unatumika...
Wadau habarini za leo
Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa...
Hello wanajukwaa.
Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki
Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye...
Salaam wakuu,
Naomba mwenye uelewa na uzoefu wa magari haya, Mitsubishi outlender na Suzuki escudo, hasa kwenye utumiaji wake wa mafuta na upatikanaji wa spare parts bila kusahau uimara wake...
Wadau huu uzi ni wetu, wake kwa waume mabibi na mabwana,
Pindi unaponunua gari Toka showroom kwa Mara ya Kwanza Nini Cha kufanya.
Wake wataalamu tunawasikiliza.
Mimi sio mtaalamu Sana wa magari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.