Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wapendwa naombeni kufahamishwa bei ya sim zifuatazo kwa tanzania Samsang galaxy s4 au s3 iphone 3 and 4 mkiniambia na capacity itanisaidia sana
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Vodacom Tanzania ni majizi. Serikali inatakiwa isimamie usalama wa watumiaji wa huduma za kampuni hii jizi. Vodacom wanakata fedha za watu bila sababu. Mtu anaongeza salio, kabla hajafanya...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Nimekuwa nikijaribu kuwasilisha VAT Returns za mwezi October katika mtandao wa TRA lakini kwa muda wa siku tatu mfululizo server yao inaonekana aidha iko down au imezidiwa kabisa. Ajabu TRA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kupata ufafanuzi mzuri wadau, sijawahi kufanya biashara. Napenda kuuliza, ni mambo yapi ya kuzingatia na kuchukua ukianzisha biashara yoyote?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani habari, je kuna mtu keshawahi nunua hizi gari aina ya eicher kwa kampuni yeyote, na je unaweza kuinunua kwa credit.. Naomba kwa yeyote anayejua, anijuze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajukwaa mimi ninampango wa kufungua biashara tatwa hapo juu lakn cjui nianzie wap. na je ni kias gan unaweza kuanza nacho pia unawezaje kupata hzo line kwa gharama ipi tafadhal naomben mawazo...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
namba yangu ni 0718375766 nina IDEA ya biashara nchini mozambique,niwhatsupp or nitaxt tujadili atakaevutiwa nazo au mwenye bidhaa kama zile zinazohitajika mozambique basi hana budi kupanua wigo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo tarehe 9 Januari, 2015 katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika kituo cha ITV ni MASIKITIKO MAKUBWA kuona wakulima wa miwa kukosa kuuza miwa yao kwenye viwanda eti kwa sababu sukari...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Heri ya mwaka mpya wakuu wa JF... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamu kuna kanuni gani hasa za kufuata hapa kwetu Tanzania ili mtu aweze kuanzisha shule, iwe ya chekechea...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naomba kuuliza nawezaje kupata soko la samaki. Nina shamba la samaki wameanza kukomaa hivyo nategemea kuanza kuwavuna mapema mwezi ujao. Kama kuna mtu anajua,anaweza kunipa mwongozo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Whenever I get in Dar I like walking around wondering how beautiful and busy the city is. I met a friend who told me was hunting a job. I just want to share with some of you guys what I...
10 Reactions
35 Replies
11K Views
Wakuu hivi ukiagiza Gari kuna hizi costs! Swali langu ni je CIF costs zina include FOB costs? Au CIF ni costs nitakazo lipa baada ya kulipia FOB? Asanteni!
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana jamii, hbr zenu? Kuna nyumba inauzwa na ninataka kuinunua kwa hela za benki. Nyumba iko ktk makazi yaliyo pimwa na ina hati. Tafadhalini naombeni msaada wa mawazo: 1)ni benki gani naweza...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau salamuu! Tunatoa huduma kwa wajasiliamali wanaotaka kufungua limited company/firm kwa kuwaandalia nyaraka mbili muhimu za usajili nazo ni the memorandum of the company na articles of...
1 Reactions
58 Replies
11K Views
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja ni raia wa u.k lakini anaishi south africa ambaye alikuja hapa nchini kwa ajili ya kusajili kampuni. Anadai tanzania mambo hayako wazi na ni vigumu kujua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka ninunue stocks za kampuni za US, nimetafuta jinsi ya kufanikisha hilo na nimekutana na brokerages kadhaa za Hong Kong, US na nchi za Ulaya ambazo zinakubali foreign clients, lakini wengi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, ninaomba mwenye uzoefu wa biashara ya dhahabu, kununua migodini na kuuza kwenye masonara, biashara ikoje na kwa kuanza mtaji mdogo kabisa n kiasi gani? Naomba mnisaidie japo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taasisi tajwa hapo juu nimekuwa nikiisikia sikia tu, kuwa inajihusisha na maswala ya kukopesha fedha kwa haraka, na riba zao naskia in ndogo sana, tofauti na Bayport, kwa mwenye taarifa sahihi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Yesu. Ndugu zangu nawaomba mnisaidie kupata au kunitafutia wateja wa unga wa dona au Sembe.Unga wangu unaitwa Tabasamu upo katika uzito wa 50kg 25kg 10kg and 5kg both dona...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom