System inaitwa Secondary School Information Management System(with android application)
Ina manage taarifa za Academic na Finance za Shule
Requirements
1.Hosted Website
Shule ikiwa na website...
wanabodi
natumaini mu wazima wa afya
ni muda sasa natafuta duka au mtu yeyote anayeuza mbegu za shairi (barley) kwa mkoa wowote Tanzania
Naomba kama kuna mtu mwenye contact anisaidie/au hata...
Habari wana jamii, nimejaza form za kuweka umeme kwenye site yangu iliyoko salasala ninahitajika nizipeleke mbezi kwa surveyors wa Tanesco I hope!!!!! Kwa naejua wako wapi anijuze please!!!!!
Natumai mmeuanza mwaka kwa amani na matumaini mapya,ninakuja jukwaani kutafuta ushauri,mawazo.Niko mkoa wa Kagera na hivi karibuni nimebarikiwa kupata chumba cha biashara pamoja na kimtaji...
Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar...
Vijana na watu wengi hawapendi kulima kwa sababu mbili. Kwanza ni kukosekana kwa masoko ya uhakika wa mazao ya kilimo na bei kuwa ya chini. haya yote yanasababishwa na serikali kuzuia watu kuuza...
Kwa wale wanaoota kuwa bei ya mafuta itashuka Bongo kwa vile bei kwenye soko la mafuta la dunia imeshuka kwa zaidi ya asilimia hamsini, they are 'day dreaming'! Sababu zifuatazo zinachangia kwa...
Imekuwa ni masikitiko makubwa sana kwamba mafuta yameshuka a zaidi ya asilimia 50 na shilingi imeshuka kwa asilimia 10 to 15 lakini mafuta kwenye pump hayashuka tunanua kama yalivyokuwa $ 90 kwa...
Ndugu wana jamvi, nimekuja hapa uwanjani petu huku nikijua kabisa kuwa humu ndani ya JF kuna wataalamu wa kada zote na ninaamini hakuna hoja inayotelewa humu akakosekana mtaalamu mwenye majibu...
Hello Wadau, niko kijijini, hapa kupata petroli ni shida. Natafakari kufungua duka la kuuza petroli kwa rejareja, sio kufungua petrol station. Naomba mnifahamishe sheria na taratibu zinasemaje...
Boost for KQ as Jambojet gets regional licence
SHARE BOOKMARKPRINTRATING
Jambojet MD Willem Hondius at Moi International Airport, Mombasa last year. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP
By...
Mimi ni MZUNGUMZAJI MHAMASISHAJI, pengine kwa utangulizi nieleze nini maana hasa ya MM. MM ni mtu anaezungumza ktk hadhira akiwa na lengo mahsusi la kupandikiza mbegu za uthubutu na kujitambua kwa...
Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la mabenki hapa Tanzania.
Jambo linalonishangaza ni mabenki haya pamoja na wingi wake kushindwa kuwafikia waajiriwa wa serikali na wa sekta binafsi. Asilimia...
Habari za Jumapili hii , Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunifikisha tarehe kama ya leo, am so happy ila nazidi mwomba anifikishe 2015 pia.
Leo napenda kuwafahamisha ya kwamba kama...
Lion attack victims flee hospital at nightSHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING
Tarangire National Park game wardens look at carcasses of six lions after they were reportedly killed by residents of...
Habari ndugu Mtanzania, ninatumaini u mzima wa afya njema! Merry Christmas and happy new year 2015.
Katika kuhakikisha tunaboresha huduma zetu Kampuni ya Chinaworldbuz yenye makao makuu Shanghai...
habari,naomba kwa ambae amewahi agiza bidhaa za online anipe mwongozo mfano bidhaa ikifika posta au ofisi za DHL kuna gharama gani za kulipa kama kodi??mfano umeagiza simu,nguo n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.