Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jamani msaada nahitaji kupata mkopo bank, lakini nina nyumba yenye leseni ya makazi, sina biashara, je kuna bank yoyote inaweza toa mkopo?? Msaada kwa anayejua please
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nmb tawi la Bunda huduma yake sio nzuri ila kuna dada mmoja amenihudumia leo anaitwa Anna nimefurahia huduma yake maana hanuni wala hajibu vibaya japo wateja kwenye meza yake walikuwa wengi. Kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani nina jamaa yangu ambaye yuko Marekani,anataka tufanye naye biashara ya vitu "used" na kwa kuanza tunataka tuanze na tv flat=20,machine za photocopy=8,laptop=15,camera=10,saa za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajanvi ni imani yangu mko slalama, nimeingia katika jukwaa hili kutahadhalisha rushwa iliyotamalaki katika taasisi za fedha yaani benki na nyinginezo. Mara ya kwanza nilishuhudia hili katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
njooni tuanzishe kikundi cha kukopa na kuweka akiba kwa walio dar es salaam ni rahisi kuonana kwa sasa kikundi kuna watu watano kwa walio interested wani pm namba zao za cm wanazotumia whatsapp...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
NATAFUTA MTU AMBAYE ANAWEZA KUNIUZIA NGUO ZA KIKE ZA SPECIAL AINA ZOTE KWA BEI YA JUMLA MIMI NIPO ARUSHA. KINDLY SEND YOUR PRICE LIST VIA KWA EMAIL YANGU Email: fredyone78@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
3K Views
mimi ni kijana wa kitanzania ninayetaka kujiingiza katika biashara ya kilimo cha matunda na mboga mboga ninaandaa business plan lakini nimekwama katika kuandika market analysis kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam, Ndugu wadau nahitaji msaada wa kujulishwa ni kodi zipi (kama zipo) hulipwa wakati wa kuanzishwa kwa kampuni? Na je kiasi cha mtaji wakati wa kuanzisha kampuni kina athari yoyote katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 2015 uwe ni mwaka wa mabadiliko kwa viwanda vya sukari nchini Tanzania. Sekta hii imekuwa 'baby seated' kwa kipindi kirefu na ninahofu huko mbeleni (hata sasa) haitawezekana kuendelea...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Haya ikiwa tv yako ni plasma old model, kuifanya tv yako iwe katika smart tv uweze kutumia browser na youtube, kuunganisha na simu yako kwa Bluetooth au ipad au tablet. Tafuta hii dongle.
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Hello Members, I have an account at CRDB bank. Do not want the hassle to stand in ques for depositing cash into my own account. As advertised by CRDB they have Easy Deposit ATM's, can anybody...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajf..Nimeona niwashirikishe kitu kwa wale wenye maduka yao ambao wataweza kusupply vitu vifuatavyo kwenye ofisi yetu ambayo utaifaham baadae ila sio ndogo ni kubwa na inafahamika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati Wana JF Jamani mwenzenu naomba msaada wa nyumba ya kupanga Maeneo ya kunduchi au sehem nyingine ila pawe na umeme na maji nna Usafiri wa daladala za kwenda makumbusho.Pia iwe na...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Habar wadau,natafuta vifaa tajwa hapo juu ,endapo kuna mtu anaviuza au anajua vinapopatikana kwa jumla anipe bei tafadhali.Natanguliza shukrani. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Malengo yangu 2014 yalikuwa ni kusimamisha biashara kadhaa ndogo ndogo. Biashara ambazo Inaweza kunipa faida ya Tsh 20000 hadi 50000 kwa siku. Bahati mbaya hadi mwaka unaisha sijaweza...
5 Reactions
37 Replies
9K Views
Wale wanaouza maduka kariakoo iv kweli wanapata faida au wanatutamanisha tu, iv kweli unamkuta mtu anaduka kariakoo analipa fremu zaid ya million kumi kwa mwaka mzigo wake kama ni nguo au vipodozi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ela mbovu zinaendaga wapi na zinaenda fanyiwa nini
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habar zenu ndugu. Sisi ni vijana wawili wenye wazo la kuanzishha kikundi cha kutoa huduma ya afya katka jamii kwa malipo ya chini na kikundi kitaweza kuajir watu wa kawaida na madaktari.pia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jaman nina idea ya biashara nchini mozambique,ila tatizo ni mtaji tu,kwa wale wenye mitaji mikubwa wanatoa bidhaa nje,kama vile nguo,wax,bell za mitumba,nk kama unataka kupanua wigo wa biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu... Natafuta mbao used za kupigia slub. Mirunda na cyprus 1x6 na 4x2
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Back
Top Bottom