Mimi ni mteja wenu wa muda mrefu hata hivyo baada ya kuhamishiwa huku kilindi nimekuta nmb imepita bila kupingwa na ingawa wanajitahidi kutoa huduma "kama nmb nyingine" bado pengo lenu kama crdb...
Heri ya pasaka wana JF. Na poleni kwa mihangaiko ya maisha!!
Jamani nilikua nataka kuingia kwenye real estate business kwa kutengeneza online platform flani ambayo watu,makampuni au madalali...
Who is likely to grow?...
The person who is likely to grow is not the one who wants to grow or who needs to grow or who deserves to grow BUT the one who is committed and determined to grow. The...
Top 3 things to do in Kilimanjaro
25th Nov '14
by fastjet Tanzania
Lake Chala
Lake Chala, located about an hour away from Moshi is a beautiful crater lake set against the dramatic background...
BAA! ni mtandao maalumu chini ya kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, Gorofa ya 10, Jengo Jipya la Ushirika Tower,Barabara ya Lumumba, Dar es salaam wenye lengo la kurahisisha mawasiliano...
Mimi ni mmojawapo wa wahanga wa malipo ya ticket za FastJet kwa simu. Kuna wakati unaweza fanya booking ya ticket na kupewa reference number na expiry time ambazo pindi ukilipia booking husika...
Nipo Tunduma (boda ya Tanzania na zambia) natafuta mtu ambaye tutachangiana mtaji tufanye biashara. If you feel the same plz contact me though saimonsumun@yahoo.com
Habari wapendwa.
Kama una idea ya biashara yeyote, wewe njoo kwangu, nitakupa mtaji usio zidi 2 milions na faida itakayo patikana tutagawana, mimi nnachukua asilimia sabini na wewe utachukua...
Heri ya xmass na mwaka mpay.
naomba kujua mazao yatokanayo na muwa i mean ukiacha sukari na pombe ni bidhaa gani nyingine yawezwa kutengenezwa kutokana na miwa?
asanteni.
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Wizara ya viwanda na biashara wamekuwa wagumu sana wa kutoa
leseni kwa microfinance mpya zinazoanzishwa hivyoo nimefikiria...
Wana Jukwaa Salaam kwenu
Nina shida ya dharula na ya haraka sana ya Tsh. Ml. 20. Kuna project yangu moja imekwama na inahitaji pesa ya haraka sana. Nitarudisha ndani ya siku 30 kutoka siku...
Nina shida na mtu anaejua kuandika business plan ya mikopo midogo midogo kwa wakina mama pamoja na mchanganuo mzima.
Mawasiliano piga namba: 0713 164090
Kampuni ya VIP Engineering and Marketing inayoshutumiwa kimakosa kwamba imefanya vitendo vya uvunjifu wa sheria kuhusiana na Akaunti ya Escrow imeibwaga Benki ya Standard Chartered katika shauri...
Habari!
Anahotajika mtu mwenye uwezo wa kuandika business proposal. Hii itakuwa ni proposal ya kuombea fund kwa ajili ya agriculture project/business. It's a group project so the writer must have...
Habari zenu wakuu wa kazi,
Niana ujuzi wa kutosha kuhusiana na biashara hii ya agricultural exportation hasa katika maswala mazima ya documentation.
Export parmits
Fumigation procedures...
Ndugu,
Nimeamua kujiajiri kwa kuandika rasimu za katiba za kampuni, taasisi kama NGO's, vyama vya siasa, michezo nk.
Hali ni ngumu naomba kwa wadau na wateja mniunge mkono.
kwa kuanzia...
Tunatoa huduma ya kuandaa business plan kwa ajili ya business startups mbalimbali kwa bei ya tsh.100,000/= tu kwa yeyote ambae yupo interested call 0689341445
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.