PRICE: 100,000/=
Net Weight: 907g
Toolkit Size: Approx 26.8cm x 18cm x 5.3cm(LxWxH)
Color: Deep green
This instrument is designed to identify and trace wires or cables without damaging the...
Habari wakuu, naomba tusaidiane ni jinsi gani ya kufungua Kampuni ambayo itakuwa na vikampuni vidogo dogo ndani yake kama ilivyo Bakhersa Company Group, ndani ina Azam TV, Azam FC, Azam Marine na...
Wadau mi ni mteja wa crdb kila nikipita naona mawakala wa fahari huduma,ila sijawahi kupata huduma yoyote kwa kupitia hao mawakala wa crdb,naomba uzoefu wenu kama kuna mtu alipata huduma kupitia...
Mojawapo ya vichocheo vikubwa ya maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote duniani ni nishati ya umeme, lakini hapa kwetu Tanzania nishati ya umeme imekua kama zawadi kwa wananchi.
Leo hii ni wiki na...
Napenda kufahamu gharama nitakazolipia ikiwa nitataka tangazo la biashara yangu lionekane hapa. Pia naomba kwa yeyote anayefahamu gharama za ku-launch website anifahamishe tafadhali. Nawasilisha.
Danish firm says 365 Turkana turbines order largest in its history
SHARE BOOKMARKPRINTRATING
Lake Turkana Wind Power Plant Project chairman Mugo Kibati (right) and former chairman Carlo van...
Nina wazo la kuanzisha shule ya sekondary, nimeshajenga darasa moja tu, kwa sasa chekechea wanasomea asubuhi, na jioni pre-form tution. Je nitapateje fund kwa ajili kujengea madarasa 7 mengine...
Nampango wa kuanzisha utengenezaji na uuzaji wa chakula cha ngombe ( hay) ,naomba ushauri nitapata wapi au ntaagiza wap hay harvester
- ya kutosha kuvuna walau ekari kumi kwa siku( kubwa )
-...
Wana jamvi mlioko Arusha, naombeni msaada wa majina ya hostel au rest house nzuri na zenye bei nafuu hapo Arusha mjini ambazo zinafaa kuishi mgeni wa Kitanzania. Lengo ni kujaribu kupunguza...
Looking for people who own and trade stocks in TZ? Or an individual with enough knowledge on stock trading, specifically TZ stocks. Currently trade low price stocks in the US. Would like to invest...
Vijana wengi wamesoma wameelimika lakini wanashindwa kuwa na vitu kama hivi ili kuweza kupata create ideas zao katika mambo ya ki technology.
Hii ni router ambayo unaweza kutengeneza electronic...
1.Je unachanganywa sana na maeneo kama Kariakoo wakat unatafuta mahitaj yako ya kibiashara?
2.Je wewe ni mgeni jijini Dar es Salaam na ungependa kupata mahitaj yako bila kusumbua watu kwa...
Idea yako ndio utajiri wako! Kama una idea makini ya kibiashara tuwasiliane tuipe uhai idea yako.
Wadau kama kuna yeyote mwenye idea ya kibiashara, lakini ameshindwa ku finance idea yake...
habar ndugu zangu watanzania, mimi ni mjasiliamali mdogo nimemaliza chuo ud nimeona nijiajiri kupitia biashara ya mafuta ya alizeti, kikubwa naomba mniunge mkono lita tano (5) ni Tshs. 18000 tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.