Vodacom Tanzania ni majizi.
Serikali inatakiwa isimamie usalama wa watumiaji wa huduma za kampuni hii jizi.
Vodacom wanakata fedha za watu bila sababu. Mtu anaongeza salio, kabla hajafanya...
Nimekuwa nikijaribu kuwasilisha VAT Returns za mwezi October katika mtandao wa TRA lakini kwa muda wa siku tatu mfululizo server yao inaonekana aidha iko down au imezidiwa kabisa. Ajabu TRA...
Jamani habari, je kuna mtu keshawahi nunua hizi gari aina ya eicher kwa kampuni yeyote, na je unaweza kuinunua kwa credit.. Naomba kwa yeyote anayejua, anijuze...
Wanajukwaa mimi ninampango wa kufungua biashara tatwa hapo juu lakn cjui nianzie wap. na je ni kias gan unaweza kuanza nacho pia unawezaje kupata hzo line kwa gharama ipi tafadhal naomben mawazo...
namba yangu ni 0718375766 nina IDEA ya biashara nchini mozambique,niwhatsupp or nitaxt tujadili atakaevutiwa nazo au mwenye bidhaa kama zile zinazohitajika mozambique basi hana budi kupanua wigo...
Leo tarehe 9 Januari, 2015 katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika kituo cha ITV ni MASIKITIKO MAKUBWA kuona wakulima wa miwa kukosa kuuza miwa yao kwenye viwanda eti kwa sababu sukari...
Heri ya mwaka mpya wakuu wa JF...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamu kuna kanuni gani hasa za kufuata hapa kwetu Tanzania ili mtu aweze kuanzisha shule, iwe ya chekechea...
Wakuu naomba kuuliza nawezaje kupata soko la samaki.
Nina shamba la samaki wameanza kukomaa hivyo nategemea kuanza kuwavuna mapema mwezi ujao.
Kama kuna mtu anajua,anaweza kunipa mwongozo.
Whenever I get in Dar I like walking around wondering how beautiful and busy the city is. I met a friend who told me was hunting a job.
I just want to share with some of you guys what I...
Wakuu hivi ukiagiza Gari kuna hizi costs!
Swali langu ni je CIF costs zina include FOB costs? Au CIF ni costs nitakazo lipa baada ya kulipia FOB?
Asanteni!
Wana jamii, hbr zenu? Kuna nyumba inauzwa na ninataka kuinunua kwa hela za benki. Nyumba iko ktk makazi yaliyo pimwa na ina hati. Tafadhalini naombeni msaada wa mawazo: 1)ni benki gani naweza...
Wadau salamuu!
Tunatoa huduma kwa wajasiliamali wanaotaka kufungua limited company/firm kwa kuwaandalia nyaraka mbili muhimu za usajili nazo ni the memorandum of the company na articles of...
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja ni raia wa u.k lakini anaishi south africa ambaye alikuja hapa nchini kwa ajili ya kusajili kampuni.
Anadai tanzania mambo hayako wazi na ni vigumu kujua...
Nataka ninunue stocks za kampuni za US, nimetafuta jinsi ya kufanikisha hilo na nimekutana na brokerages kadhaa za Hong Kong, US na nchi za Ulaya ambazo zinakubali foreign clients, lakini wengi...
Habari zenu wapendwa, ninaomba mwenye uzoefu wa biashara ya dhahabu, kununua migodini na kuuza kwenye masonara, biashara ikoje na kwa kuanza mtaji mdogo kabisa n kiasi gani? Naomba mnisaidie japo...
Taasisi tajwa hapo juu nimekuwa nikiisikia sikia tu, kuwa inajihusisha na maswala ya kukopesha fedha kwa haraka, na riba zao naskia in ndogo sana, tofauti na Bayport, kwa mwenye taarifa sahihi za...
Nawasalimu kwa jina la Yesu.
Ndugu zangu nawaomba mnisaidie kupata au kunitafutia wateja wa unga wa dona au Sembe.Unga wangu unaitwa Tabasamu upo katika uzito wa 50kg 25kg 10kg and 5kg both dona...