Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni...
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Pipeline ready to transport gas to Dar, say officials The entire pipeline has a capacity of 784 MMBTU, which will be raised to 1,002 MMSCFD in future. FILE | TEA Graphic IN SUMMARY The $1.2...
1 Reactions
2 Replies
753 Views
Mara nyingi nafuatilia kuhusu post zenu namna ya kufanya manunuzi mtandaoni.....nashukuru nimepata ufahamu lakini kuna jambo linanitatiza kuhudu dhl,,,,swali..napofanya manunuzi mfano amazoni kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu poleni na Kazi, kwa wataaalamu wa biashara hapa, kama wote tunavyojua kuwa football betting ni biashara za watu wengine na wanapata faida nyingi sana kwa kupia biashara hiyo, ukipita mitaani...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
NI VIZURI KUJUA VITU FLANI, USUSANI KATIKA UJASIRIAMALI Ulishaji: Kuku wa kienyeji wanaweza kulishwa kwa kumia mahindi, mchele, na mabaki ya ugali. Vyakula hivi ni lazima vikaushwe vizuri na...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Hivi tumekosa Matajiri hata 5 Tanzania wazalendo wakaonganisha Nguvu ya Pesa na kutengeneza Kampuni 1 ambayo itaweza kuwekeza ktk Usafirishaji wa hii Treni kati ya Airport na city Center, then...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau wa Jamiiforums; Kwa ushauri wa mambo ya mikopo na biashara, wasiliana nasi kupitia; Email: zackfinancetz@gmail.com Tunawatakia siku njema.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu waungwana wa JF. Naomba kufahamishwa hatua za kufuata ili kupata mkopo benki kwa kutumia nyumba kama dhamana. Kwa sasa sina hata hati ya nyumba yenyewe. Nyumba iko katika jiji...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau wa uchumi naomba mnipatie majibu yakinifu kwanini dollar inapanda sana kila hasubuhi. Pia EXCHANGE RATE inafanyika je na nivigezo gani vinafuatiliwa kuandaa Swali la nyongeza: Hivi...
0 Reactions
4 Replies
37K Views
habar wana jf Naomba kujuzwa juu ya taratibu za ulipaji kodi ya mapato.maana kuna ndugu yangu mtaji wake ni 3m anaambiwa alipie mapato 200000 kwa mwaka je halali kwa sheria ya kodi iliyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu niko interested ku nunua share za bank ya CRDB, na nimekuwa nikizifuatilia kwa ukaribu kwa wiki 3 sasa. Japo kuwa zimekuwa zikipanda hadi Tshs 495 wiki ya jana, lkn wiki hii ziko kwenye 470...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF, Asilimia kubwa ya Watanzania hasa waishio mjini wanapenda kuanzisha miradi yao ya kiuchumi/Biashara za kiwango kidogo na cha kati. Richa ya kupenda huko si wote wanaofanikiwa kuanzisha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima Mbele Mabibi na Mabwana Natafuta vijana nitakaoungana nao kusambaza elimu ya fedha uchumi na biashara. Kama upo tayari basi tuma neno -AFEA - kwenda 0655 580 788 Elimu hii itasambazwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
nina wazo zuri la kibiashara nahitaji kuongezea mtaji nilio nao.. nipe mil 4 nitakurudishia mil 5 kwa miez 24! AU tushirikiane kibiashara.... <allanclement6@gmail.com>
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunasaidia watu kupata admission, kupata passport na visa, tunasaidia pia kupata hostel au appartment ya kuishi unapokuwa masomoni kwa gharama nafuu! Nchi tunazohusika nazo na tunaconnection...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Wasalaam sana wakuu! kicha cha mada hii kinahusika sana,Nimevutiwa na jitihada za mifuko ya hifadhi ya jamii katika kuwapatia watumishi nyumba bora katika utaratibu uliowekwa, Dhumuni la uzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna utafiti nafanya ningeomba kupata taarifa kutoka kwenu wadau.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi namtaji Wa shilingi milioni moja na nusu nipo KAHAMA nifanye biashara gani wajameni kwani hela hii nimepata Kwa mkopo nahitaji mawazo yenu wakuu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nawasalimu wanajamvi? nimepewa zawadi ya gari na inatumwa tokea Japan. naomba mwenye kujua,.. je zawadi nayo hulipiwa ushuru kama ilivyo kwa magari mengine yaliyonunuliwa?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale mnaofahamu vituo vya kubetia mbeya mjini naomba tujuzane vilipo ili nijaribu bahati yangu wanaJF
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…