Petrol could fall to £1.05 a litre if oil prices remain low: Experts say recent slump could be 'significant stimulus' to the economy
A leading economist has predicted prices will drop if oil...
Habari wana jamii!
Mimi nataka kujikita zaidi kwenye biashara ya Daladala lakini kwa mtazamo wangu nimepiga gharama za Hiace mpya ni 20m-25m, ni hii bei hadi kukulipa inachukuwa mda usiopungua...
guys kwa yeyote aliyefanya research kwa ajili ya business yake ila hajajua namna ya kuandaa business plan basi hasihangaike wasiliana nasi sasa na tutakuandalia A professional business plan...
Wana jamvi habari zenu,
Mimi ni mtaalam wa mifugo ktk tiba, ushauri na upatikanaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi,kuku,mbwa,paka,nguruwe na nk.
Hivyo wadau KWA yoyote anayehitaji huduma...
WanaJF naombeni Msaada,nimeshajenga Msingi nataka kupandisha nyumba yangu hadi juu kozi kumi kufunga Mkanda na kuweka kozi 3 juu ya Mkanda(Lenta) wa kusukiwa nondo 4,makisio ya matofali ni...
Kwanza kabisa napenda niweke wazi kuwamimi sina uwanachama hai wa kampuni yoyote ya inayofanya biashara yasoko la kimtandao kwa hivi sasa, na sina masilai ya aina yoyotekutoka kwenye biashara hii...
helo great thinkers ninaombeni kwa mwenye ufahamu juu ya mikopo isiwe bank kwani lengo langu,ni kukopa fedha kidogo ili niongezee mtaji katika biashara yangu nipo tukuyu mbeya,kaz yangu ni mwalimu...
habari wadau poleni na majukumu.mimi ni mwalimu sekondari ombi langu ni kutaka kujuzwa ni wapi naweza pata mkopo,kwa hapa tukuyu isiwe bank kwani nahitaj pesa kidogo tu kwaajili ya kuongezea mtaji...
Wadau wa masuala ya biashara na uchumi. Hii nimeikuta sehemu fulani ndani ya engine ya yahoo.
jisomeeni wenyewe na copy na ku paste tu!
AMERICA IS NOW No. 2: ITS OFFICIAL
Hang on to your...
Wataalam nisaidieni kuna mitambo ya kusafisha majitaka hapa kiwanda cha bia cha serengeti iliyofungwa na kampuni ya Waterleau ya Belgium na katika Recirculation ya maji kusafishwa, kuna mabomba...
Habari wana jamii kwa wale wenye miradi ya kuku tuna uza vyakula vya kuku kwa garama nafuu na vyakula vilivyo na ubora wa hali ya juu na salama kwa kuku wako
vyakula hivi ni kwa kuku wa nyama...
Wakuu hembu mnijuze kwenye riba za banks.
Ni Banks gani zenye interest kubwa .
Halafu naomba mnisaide kukokotoa hii hapa.
Kuna Jamaa yangu kaingia kwenye Mkopo wa Bank moja huko huko Dar,amekopa...
Wapendwa, nisaidieni nahitaji kwenda kununua ng'ombe na mbuzi Dodoma na Shinyanga kuja kuuza Dar, Pugu na Vingunguti. Je nahitajika kuwa na vibali gani ili kuruhusiwa?
Habari wanajamvi! Naomba kwa anayefahamu ilipo kampuni ya kizalendo ya VML Global Tanzania Limited au saccos yao Vission Saccos Limited anielekeze walipo, nataka niende kuwaona nina muhogo ekari...