Salamu za heri, JF business-people.
We've opened an online music store, and would like to make online and mobile payments possible for all Tanzanians.
We have a question, though: what payment...
ANJOA COMPANY LIMITED
- Tunasaidia (assist) kurasimisha biashara yako (kusajili biashara),
-Tunasaidia (assist) kusajili kampuni na NGO
- Tunaandika michanganuo ya biashara (business plan)...
The machines have an in-built cooler and use electricity to store and dispense milk. It works like an ATM machine where consumers can key in the amount of milk they want and pay.
The Kenya...
Msaada jamani nmekusanya ka hela kangu nataka niagize gari kutoka Japan. Mwanzo nlikua naijua site moja tu nayo ni Beforward lakini baadae nikaja kukutana na Tradecar view.
Kinachonichanganya...
Habari wadau.......
ndugu wadau nina mawe ya rangi aina ya zambarau ambayo yanapitisha mwanga hadi mwisho sasa sijajua hayo ni madini gani na kila nikiuliza watu kila mtu ananiambia jina lake...
Habari wajumbe,
Samahani wajumbe ila nlikua naomba msaada wa kujulishwa gunia moja la mchele na la maharage linauzwa shillingi ngapi maeneo ya sokoni Tandika.
Ntashukuru taarifa
Hello!.
DO U WANT TO MAKE MONEY WTHOUT ENTERFERING UR DAILY ACTIVITIES?! kuna Success Busines plan dat u can do part tym n earn upto 1.2+milion monthly.
QUALIFICATIONZ:-
* mtu yeyote yule abv...
(Toronto, Canada) – Zanzibar Telecom Ltd (ZANTEL) has today jumped on the bandwagon of the new Diaspora remittance service (mobile) of the People's Bank of Zanzibar Limited (PBZ Ltd). The...
Samahani wadau wangu wa JF nina shida ndugu zangu nahitaji mtu yoyote anayejua njia rahisi zaidi ya kupokea mizigo kutoka UK kwa njia ya anga, nahitaji sana msaada wenu ndugu zangu.
Ni kichekesho kweli kwamba TRA sasa wanafunga maduka ya wasiokua na mashine za risiti. Ninajiuliza kua wale waliokua wanagoma kufungua maduka kupinga hizi mashine kumbe walikua wanatekeleza...
wadau habari !
Naomba anayeweza kuniazima kiasi cha Tsh mil 1, kwa mwezi moja na nusu nitamrudishia mil 1.2, dhamana nina kiwanja hakina hati, kina mkataba wa mauziano. kama upo tayari ni PM
Dar es Salaam, 2nd September, 2014. Tigo Tanzania announced today that it will distribute a staggering 14.25 billion shillings (equivalent to US $8.7M) of profits accumulated on the Tigo Pesa...
Tunatafuta wasambazaji ambao wana deal na mafita ya kupikia ambayo yako packed kwenye chupa za lita 1,2 na 5 tunaweza kutengeneza kwa brand ya mteja.Uwezo wetu wa unaanzia chupa 26 985 kwa lita...
jaman naomba mwenye kujua zilipo ofis syngeta kwa dar anisaidie. au yeyeto mwenye kujua napoweza pata mbegu za nyanya aina ya kilele f1 au tylka f1 naomba anisadie. kariokoo sipatak wameniuzia...
Naombeni mnipe maujanja jinsi mnavyoweza kusonga mbele pamoja nakuwa na malundo ya kodi.. Hasa biashara ya MAFUTA
1. Corporate tax
2. Services levy
3. Jamaa wa OSHA
4. Fire
5. Rental tax kama...