Habarini Wanajamvi.
Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na wengine...
Wadau kulikoni fastjet iliyojinasabisha na wasafiri wa Mbeya sasa wameanza kuonyesha makucha. jana wameahirisha safari zao za mbeya ghafla.
Na kuudhi leo wasafiri wanadandia ndege kama daladala...
wanajamvi wenzangu, mimi nina bar yangu, ambayo location yake ipo mafichoni kidogo, na watu si wengi.
uendeshaji wake mwanzo kabla sijaichukua ulikuwa mbovu kutokana na mmiliki kuishi mbali...
Habali zenu wana JF,hivi kwa mfano mtu unaandaa au kutengeneza business proposal yako kwa minajili ya kuuza hyo proposal yako kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya hiyo biashara au project jee waweza...
According to a comparative global study by PWC, Tanzania is not an easy place to do business as far as tax environment is concerned. It ranks 141 in the world (out of 189) for the ease of making...
Mhe akisalimia na wanachama wa taasisi
Mbunge wa kigoma kaskazini Mhe. Zitto Zuberi Kabwe amefanikiwa kuzindua taasisi ya ENHANCE MASS DEVELOPMENT kwa kishindo kikubwa, ambapo...
Habari zenu wadau wa jf,nakusudia kuanzisha biashara ndogo ndogo ya kukaanga kuku,pweza na vitafunwa vingine.so nahitaji mtu wa kunisaidia ktk shughuli hizo malipo tutaelewana nipo dar...
habari wanajamii forum,
nimesikitika sana ndo maana nimeamua kuandika hili lalamiko kwenye upande wa biashara.. watu sijui kwanini hawapendi uaminifu na kutuuzia vitu ambavyo haviendani na...
Wanajf habari, mi nataka kujua wanunuzi hasa wa madini ni wakina nani au ni wapi kwa maana kuna ndugu yangu ana madini aina ya Mekyuri ya maji nyekundu na nyeupe kutoka Morogoro anatafuta wateja...
Kuna Mwajiri ana staff zaidi ya 300 na wote wana mikataba ya kudumu. Mwajiri huyu hataki kuingia Mkataba na Benki ili staff wapatiwe personal loans (sababu anazijua mwenyewe). Naomba kujua Benki...
wakuu samahani, najua mtaona labda mm ni mgeni humu lakini hapana. binafsi nasomaga tu hoja za wanaJF humu kwa muda mrefu.
ila leo nimekuja na hii ishu naomba ushauri wenu wa fasta; nataka niende...
Nina fikiria kununua hisa za CRDB au NMB za muda mrefu kama mwaka au zaidi hivi ndio nitaziuza, ningependa kuuliza zina risk sana au hakuna risk kabisa maana kuna jamaa aliniambia za kwake...
naomba ushauri wadau nataka kuanzisha kampuni ya tours je nifanye nini ilinifanikiwe sababu ya kufanya hiv ni kuendeleza kudumisha utalii wa ndan na nnje maeneo ya kanda ya ziwa kwani tuna...
NIKIWA NATAFUTA TIKET MTANDAONI TOKA DAR-ENTEBBE NIMEKUTANA NA HABARI KUWA FASTET SASA WAMEANZISHA SAFARI ZA DAR to ENTEBBE kwa 80,000 TSH.(ONE WAY) DUUH KUANGALIA KENYA AIRWAYS (DAR-ENTEBBE) NI...
The high cost of moving cargo through Kenya is pushing most East African traders to Dar es Salaam despite reforms that have significantly raised efficiency at the port of Mombasa.
Traders based...
Habari zenu wana JF. Kupita kwangu kwenye hii forum ya biashara na uchumi kumenipatia mimi muamko mkubwa wa kuanxa kufanya biashara pia, hivyo nawashukuru watu mbali mbali ambao wamekua wakiandika...
Ramani ya Dunia inayoonyesha kila nchi na vitu ambavyo nchi hizo zinaongoza kwa kuuza nje ya nchi kwa wingi (Export)!
Kama inavyoonekana sisi ni Dhahabu tu kwa kwenda mbele lkn majirani zetu...
Mr Robert Kisena, chairman and CEO of Simon Group, which has a controlling stake in Uda, told The Citizen in Dar es Salaam on Wednesday that the money would help the company with preparations...
Dar es Salaam
A delegation of businessmen from the US is here to lobby the government, through the ministry of Livestock Development and Fisheries, to let them import cheap chicken bred in...