Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau naomba mnisaidie mchakato wa kuanzisha kampuni ya tours ya kupandisha watalii mlima kilimanjaro na gharama zake kwa anayejua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wenye taarifa kuhusu hili watujuze, vipi TRA wamesha anza kutumia sheria hii kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha? Mwenye kujua naomba anijuze.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaribu kufanya hivi hata mwezi mmoja tu uone utapata sh. ngapi? Moja ya siri ya mafanikio ni pamoja na ubahili, ufuatao ni mkakati ambao utakufanya uwe moja kati ya mabahili wakubwa ndani ya...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Anayefahamu kuhusu asilimia ya riba ukiweka pesa m-pawa na hiyo riba inatolewa baada ya muda gani?anipm au anitxt kwny 0715-140001
0 Reactions
9 Replies
4K Views
jamani kichwa cha habari chajieleza. Nipeni ushauri juu ya aina gani nzuri kwa mazingira yetu haya hasa kati ya sanlg na boxer
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Dar es Salaam. Little is known about the journey of most of Tanzania's richest people as they rarely share their experience with the public. But Reginald Mengi-one of the richest men in...
7 Reactions
26 Replies
6K Views
TCRA Communications Manager, Innocent Mungy The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) has reiterated that the exercise of switching off analogue broadcasting system across the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetumia account hii (sio akaunti yangu) nikiwa na lengo la kufikisha ujumbe huu. Jina langu naitwa Blessing(sio mmiliki wa account hii) nIna umri wa miaka 19 ni mzaliwa wa TANGA ninaishi DAR...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu kwa sasa ndipo songea kikazi na kampuni moja ambayo ina utaratibu mgumu, sipati nafasi kuchomoka kuja dar. Nahitaji smartphone mpya isiyozidi laki tatu. Hapa songea maduka yoote ni Tecno na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau naomba Msaada pls nataka kuanza ujenzi wa Msingi(Foundation)Mafundi wananichanganya sana,ipi Cement bora kati ya Rhino ya Dar,Tembo Cement ya Mbeya Na Twiga Cement ya Tanga? Sent from my...
0 Reactions
30 Replies
19K Views
Habari ya majukumu wakuu? kwa wenye uzoefu wa hii biashara pls, naomba kujuzwa faida zake na hasara zake, kwa ujumla maana nna kamtaji nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya vinywaji vikali na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
OMEGA 3 SALMOIN OIL PLUS ****************** WHY omega 3 salmon oil?! *Binadamu huitaji kiwango kidogo tu cha mafuta ila wengi wetu hula zaidi. Tunahitaji 1g tu ya mafuta kwa siku ila wengine...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Wadau, Naomba kuanza kwa kupongeza mfumo mpya wa ulipiaji ushuru kupitia mfumo wa money transfer. Mfumo huu utapunguza kwa kiasi kikubwa upotevu wa mapato na utawezesha au unategemewa kuwezesha...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Federal Bank of Middle East (FBME) A day after the local media reported plans by the Central Bank of Cyprus (CBC) to look for buyers to take over branches of the Tanzania-based Federal Bank of...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania risks having its products locked out of the rest of East Africa from November, as it lags behind in adopting harmonized regional standards. The harmonized standards were set by the...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Makampuni au wataalam wengi wanapofanya decision huwa wanaforecast environmental changez zinazoweza ku affect maamuzi yao. Lakini Sio kwa hapa Bongo. Juzi juzi tu tumeona makampuni ya vinywaji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ushauri
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hallo Wana JF Pamoja na kuwepo kwa Utitiri wa Viwanda Vya Cement hapa BONGO lakini Bado wengi hukimbilia Cement za Nje. Umewahi kujiuliza kwa nn Viwanda vya vyote hivi na bado Cement...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wadau, mimi nashangaa sana. Mlimani city unakuta samaki samaki pamejaa kupitiliza hadi tunasimama hapa parking area, lakini spots za pembeni wahudumu hadi wanabembeleza watu kuingia lakini...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…