Habarini wakuu!
Nina wazo la kufanya biashara ya unga wa mahindi, ulezi na mchele aina ya chopeko toka mahenge/ifakara/kilombero na kuleta Dar es salaam vyote vikiwa packed kwenye mifuko kwenda...
katibu mkuu wa viwanda na biashara amesema atazifungia pombe zote zinazotengenezwa na kuwekwa kwenye vifuko vya plastiki almaarufu viroba ikiwa hazina viwango na pia usalama wake kwa mtumiaji ni...
Habari za humu wakuu. Mm sio mzoefu wa hili jukwaa ila nahitaji msaada wa mawazo kwenye jambo flani. Nina rafiki yangu ambaye yupo kwenye kikundi cha akina mama cha kuchangishana na kusaidiana...
Jamani ni almost a week now nasikia tangazo la M-PAWA kutoka vodacom na kila nikijaribu kulifuatilia nashindwa kulielewa kiufasaha.
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa kutosha maana wanasema...
Guys nahitaji pata card ya fasta ya kujiunga na paypal, Je niende bank gani nayoweza pata viza/mastercard ya kununua itayoweza niunganisha na paypal with a short period of time?
Tshs. 30,000,000/= ya mwaka 1997 ni sawa na Tshs. ngapi kwa sasa (2014)? Naombeni na methodology tafadhali.
NB: Kuna mzee mmoja alikuwa anadaiwa hiyo hela mwaka 1997, hakuweza kulipa tangu sasa...
ndugu , jamaa na wapendwa naomba mniambie soko la kuku wa nyama dar limekaaje, upatikanaji wake, na bei zake! tafadhali naomba mnisaidie stock yangu ni kuku 500 nipo Kibaha-mlandizi mawasilian n...
Habari za leo wana JF, na wanajamvi wa jukwaa hili kwa ujumla, natumaini nyote mu wazima wa afya na kama kuna mgonjwa na mwenye matatizo mbali mbali basi mwenyezi mungu amsaidie.
Napenda...
Habari za mchana. Ndugu wadau naomba kupata ushauri juu ya biashara nzuri ambayo mtu alieajiriwa anaweza kuimiliki na bado akapata faida bila matatizo yeyote. Nasema hivi kwasababu biashara nyingi...
Kwa yeyote anayejua sehemu au kiwanda kinachozalisha chupa za kopo sealed anijulishe manake ninashida nazo haraka sana;nahitaji za nusu lita na lita moja;kama mtu anajua na bei ya jumla itakuwa...
The National Microfinance Bank (NMB) has alerted the public especially their customers to beware of an organisation identified as Tanzania Loans Society which claims to be an affiliate of the bank...
Wana jf napenda kujua kuwa soko la soya beans hivi inalipa? Nataka nianze kulima msim huu hizo soya hususani zile za njano naomba niulize haya maswali kadhaa hivi zinaitaji hali gani ya hewa ili...
Wana-JF,
ninaomba ushauri juu ya hii biashara ya kununua mpunga na kuhifadhi. Inalipa bado? Kuna wakati ilikuwa dili. Kwa sasa ninaweza kupata kamtaji angalau kuanza lakini sina hakika. Mwaka jana...
Nina shida ya dharura imenipata nahitaji million moja niweze kuikabili. Nitairudisha mwezi july kabla ya tarehe 15. Naomba mnitumie email mnaokopesha kwa riba ili tuongee mtani charge riba kiasi...
Wana Jamiiforums nawasalim!.. hope mko salama salimini!...
Kwa wanajamii ambao wanahitaji website nzuri zilizotengenezwa kitaalam kwa ajili ya kutangaza biashara.. iwe ni shule, supermarket...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.