Habari za kazi wakuu wa kazi.
Naomba msaada kwa yoyote mwenye uzoefu au mwenye sample ya kitu kinaitwa SALES PLAN. Nahitaji kuingiza bidhaa zangu za simu sokoni, naomba kama kuna mwenye uzoefu au...
Habari wana-JF,
nina kuku wa kienyeji ninauza. Kilo kati ya 1.5kgs na 2kg ninauza Tsh.20,000 kila mmoja. Wapo zaidi ya 80. Eneo Dar es salaam maeneo ya goba. Namba 0784-026-809. Sms plz kwa...
jamani naomba ushauri nifanye biashara ya aina gani nina mtaji/bajeti ya laki tatu na nusu(350000) tu
naishi dar.. taaluma yangu ICT .. hii yote ni baada ya kukosa ajira na kutanga tanga na maisha...
Nina maswali huwa najiulizaga sana
Inamana hizi banks zetu hanina security ya kutosha? Hasa kwenye kulinda account za wateja wasiwe hacked na wataalamu wa mitandao?
Kwa mfano, imetokea...
The Tanzania Revenue Authority (TRA)
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has set up new tax determination guidelines aimed at providing consistency in tax administration on both domestic and...
Watanzania tunasifika duniani kwa kupenda vitu vya kula kula na kunywa kazi HAPANA yaani ukitaka kujua wa TZ tunavyopenda hayo nenda kwenye vikao vya harusi watu wanavyolumbana kuhusu aina ya...
JE UNA MUWASHO SEHEMU ZA SIRI BAADA YA KUMALIZA SIKU ZAKO?
JE UNAPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA SIKU ZAKO?
JE UNACHUBUKA SEHEMU ZA SIRI UKIWA KWENYE SIKU ZAKO?
GLORY SANITARY NAPKINS
GLORY SANITARY...
Wapendwa Wanaboard wenzangu..Kuna fursa ya biashara ya Ndizi mbichi kwenda Turkey na Afghanistani..Kwa kuanzia tujadili na kufahamishane ni namna gani tunaweza kufanya hii biashara.. Nina Kampuni...
Kulingana na kupanda kwa gharama kuzalisha asali;kwa sasa nauza lita 20 kwa shilingi 140000 ni asali nzuri na mbichi ya nyuki wakubwa;kwa anayehitaji mzigo tuwasiliane kupitia no hii 0688161818 mi...
Family Bank signs tap-to-pay deal with Indian company
Family Bank cashpoint in Nyeri. The bank's partnership deal with iKaaz will allow its customers to use same payment...
Naomben ushauri nahtaji Kuanzisha biashara ya kuuza viatu vya
Mitumba karume vya kiume raba n.k kwa wenye uzoefuvna biadhara hii je mtaji kiasi gan unahtajika kwa kuanzia? Na je inalipa?
Vodafone, one of the world's largest mobile phone groups, has revealed the existence of secret wires that allow government agencies to listen to all conversations on its networks, saying they are...
Tunashuhudia shilingi ikiporomoka kwa kasi ya ajabu.
Kutoka shs 1610 kwa $ hapo january 2o14 hadi shs 1677 leo hii.
Jee uchumi unayumba?
Mambo gani yanasababisha kushuka fedha yetu? Jee ni...
Nachukua fursa kupongeza uongozi wa benki ya NBC kwa kuboresha huduma zao maana mteja ukienda kwenye matawi yao hakuna foleni na unahudumiwa kwa bashasha ya hali ya juu. yaani ukitoka unakuwa...
HALLOW!..
*HONGERA, WEWE NI MIONGONI MWA WACHACHE MLIOALIKWA KTK BONGE LA EVENT LA KUSISIMUA, NI UTAMBULUSHO WA MFUMO MPYA WA KIBIASHARA WA KIMATAIFA UNAOWEZA KUKULIPA MPK ZAIDI YA 1.2 MIL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.