Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu zanguni wana Jf hasa jukwaa hili la bishara & uchumi. Naomba nisaidieni kwa anayejua uzuri na ubaya wa pikpik aina ya chuma kabla sija inunua. Natanguliza shukran zangu kwenu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nina order ya vitlfuatavyo: 1. kupeleka sangara Ulaya....kwa mwezi jamaa wanataka tani 50 Je naweza kupata contacts za wauzaji? Je kwa kilp moja dola ngapi? 2. Nahitajo kununua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu msaada, najua kuna vichwa humu, naombeni msaada wa biashara gani nifanye, nina capital ya 2.5m/-. Asanteni
0 Reactions
40 Replies
17K Views
Nimeshtuka sana niliposikia kwamba hadi leo hii Tanzania bado inasafirisha mafuta toka bandarini Dar mpaka Mwanza kwa kutumia petroleum tankers..!! my God!!, hii ni sawa na wananchi wa Dar tuwe...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania haiachi kushangaza. Mawaziri na watendaji wetu wengi wa serikali ni mizigo mikubwa kabisa kwa Watanzania. Prof. Magembe anasema kuwa Tanzania inafikiria kuchuja maji ya bahari ili...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Ni majumaa kadhaa zimepita toka kiwanda cha ngozi Arusha kufungwa kutokana na kuwa mazingira ya kiwanda hicho hakiridhishi kwa kukithiri uchafu na kutiririsha maji machafu kwenye maeneo ya makazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wana JF Pamoja na kuambiwa kuwa uchumi wetu umepanda lakini hali ni mbaya mno, nasema hali ni mbaya tena mno wafanyabiashara/wajasiliamali wa kada zote wanalalamikia ugumu wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana jf na ishu ya kibiashara nataka kufanya,kuna shamba nimepata kigambon la eka4,nina barua za kijiji za umiliki ila sina title deed na ndio maana nimekuja kwenye jukwaa hili na sio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni Software rahisi sana kutumia (Hauitaji kusoma Accounts wala Computer). Inajumuisha mambo yote ya Accounts pamoja na Inventory, Payroll. Pia ina-support Multi-Branch, Multi-Currency. na mambo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Poleni na kazi wanajf na pongezi kwa mengi ambayo tunaendelea kuelimishana na kujuzana hapa jf. Mimi pia nipo hapa leo kuomba kujuzwa soko la asali ya nyuki wadogo na wakubwa maana nina sister...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shalom, Mimi ni mjasiliamali, nimeona fursa ya kuendesha kampuni ya uwakili na masuala ya bima. Tatizo sio wakili na sina cheti chochote cha Bima, Nahitaji mtu ambaye ni wakili tujiunge pamoja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii wenzangu, Leo nimekuja na wazo hili, nimetokea kutamani/kuanzisha biashara hiii, naomba mawazo yenu ...Eneo la biashara natafuta sehemu ya kuanzia tegeta mpaka boko njia panda ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kumezuka wimbi la kujenga bandari kavu huku mbezi beach. Sasa hivi ziko mbili zinajengwa! Cha kushangaza wamiliki hawa hawana vibali kutoka manispaa lakini wanajenga usiku na mchana! Ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! nina milioni 4 cash...naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Wafanya biashara humu, kuna mtu aliwah kusema anauza maternity trousers. Kwa Dar anapatkana wapi na anauzaje? Naomba contacts
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta vyumba viwili na choo chair maeneo ya survey,mabibo hostel au Mlalakuwa visiwe bondeni gari ifike na isiwe mbali sana na barabara
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwe sana wana JF. Katika harakati zangu za kujiendeleza kimaisha nimejiwekeza kamshahara kangu wee mpaka kametimia mil 9. Before nilikua na option moja tu niweke kakitimia ten em nikafanye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba3(1master), sebule, jiko, dinning,public toilet Kiwanja kina Hati Bei milioni50 ipo tabata kinyerezi 0.5km kutoka barabara ya lami. Cont: 0752953860 Tazama nyingine>>uncledalali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nauza laini za huduma ya uwakala kwa mitandao yote bei maelewano ukiitaji nichek humu 0655 872744 sihitaji utan....,
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Wakuu nimejichngisha na nimepata 1.2 nifanye biashara gani coz sijawah hata cku moja kufanya biashara naomb mawazo yenu wakuu nipo hapa Dsm...!!
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom