Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu ninaishi kijijini ambapo barabara ni mbaya sana na kuna mtu anataka kuniuzia hili gari. Kabla sijanunua naomba wajuzi wanijuze ie upatikanaji wa spare, ulaji wa mafuta, ubovu etc. Asanteni
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na shirika la ndege la precision Air mara kwa mara, katika kusafiri kwangu nimekuwa nakerwa sana na wafanyakazi ndani ya ndege wa kampuni hii wanavyojifanya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Weng wamekuwa wakizungumza kuwa unaweza kufanikiwa kupitia biashara hiyo nahitaji maelezo ya kina kujua inafanyikaje?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
habari wana jf? ukipatiwa milioni moja kwa ajili ya ujasiliamali, utaiweka kwenye biashara gani?
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Heshiamkwenu wadau.Nimevunja kibubu changu na kuamua kuagiza gari nililoliona mtandaoni Tradecar view.Hii ni mara yangu ya kwanza kununua / kuagiza Gari, Jamaa wamenitumia invoice yenye account...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana jamvi ninaomba msaada kujua gharama halisi za ushuru kwa TRA pale unapoagiza gari nje ya nchi, chukulia gharama za kununua ni dola 990, ukijumlisha na CIF na Inspectin inafika labda dola 2400...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana jf. Leo asubuhi nimetoa hela bank NMB kwenda kwenye Tigopesa. Kabla sijatoa niliangalia salio bank. Nilipotuma pia nikafanya mahesabu nimegundua ukitoa hela bank kuja Tigo pesa kuna...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Habari za muda huu wadau. Nimeona gari hilo la mitsubishi, nikavutiwa nalo sana kwa uwezo wake wa kubeba abiria jumla ya saba ukilinganisha na x-trail yenye uwezo wa abiria 5. Kabla ya kufanya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu! Unafahamu nini kuhusu hii biashara za network marketing! Je! 1) Kuna uhusiano wowote na imani za watu? 2) Kwa nn watu wako crazy juu ya hii biashara hasa wale...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilikopa ikabaki miezi 3 nikaongeza mkopo na kulipa ule uliobaki kwa mkopo mpya.makubaliano ilikuwa wasimamishe makato ya zamani au warejeshe hicho kiasi kila mwezi kinapoingia toka hazina.hakuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za hapa. Jamani nimekuja huku nina hoja yangu kidogo waheshimiwa, inawezekana kuna mtu huku anatamani kuwekeza kwenye kilimo lakini kutokana na majukumu mengi anashindwa kusimamia...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Tanzania's shilling fell for a seventh week in the longest stretch of losses in almost three years as declining commodity exports led to a lack of dollars in East Africa's second-biggest economy...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mm ni kijana npo katka harakati za kuanzsha an Association ambayo itakuwa based kwa wale watu ambao ni unemployed au hata waliokuwa employed ila ni katka kutowa sauti ya pamoja juu ya swala zma la...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta fremu ya kufanyia Biashara ya Salon au Duka Iwe Morogoro mjin au pembezon kama msamvu na maeneo yaliyochangamka. Simu 0655422526.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NEWS By ERICK KABENDERA The EastAfrican Posted Saturday, May 24 2014 at 19:54 IN SUMMARY Mis-invoicing of trade facilitated a whopping $60.8 billion in illicit financial flows out of...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wanaofikiria kupata pesa kwa kufikiria kufungua duka hawana tija katika nchi/tija yao ni hafifu. Nasema hawana tija kwa sababu wao si wazalishaji, (wanachukua ready made), wao ufikiria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKUU NIMEONA HILI SHINDANO KWENYE BLOG MOJA HIVI, NIMEONA SI MBAYA NIKA-SHARE NANYI. Taasisi isiyo ya kiserikali nchini Tanzania ya Economic Empowerment for Tanzanians (EET) ikishirikiana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mshahara kwa mwezi ni laki tatu, nia ya kujenga nyumba ipo moyoni kabisa, sasa kwa mtu kama huyu afanyeje ili ndoto yake ya kujenga nyumba itimie?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada kujua ushuru wa Prado cc 2690 ya mwaka 2014 nimenunua dola 13500 ushuru wake unaweza kua ngapi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KAZURY Ltd Kwa wanaohitaji huduma ya kupiga rangi, nyumba mpya, nyumba renovated, frame, chumba ama sehem ya biashara tunakaribisha sana Kama utapenda ubunifu wetu tukuchagulie rangi karibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom