Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu!! Mwenye kuuza til ya uwakal wa tigo ambayo haitumii kama unaiuza naitaji na ni kwa shiling ngapi utaniuzia?,,,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekua nafuatilia sana ununuzi wa bidhaa online mfano tv, laptop, phone na zinaoneshwa free shipping lakini ukitaka kuinunua wanasema hawawezi kuship kuja tz wanaship ndani ya US...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanau nahitaji carina ti na nissan elgrande ziwe katika condition nzuri. Carina ikiwa black itakuwa nzuri zaidi ushuru iweimelipiwa na kusajiriwa iliyopo barabarani. Kama kuna mtu anayo 0687...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
waheshimiwa naomba ushauri nataka ninunue solar kwa ajili ya nyumba yangu ya vumba 4 matumizi yangu ya awali ni: Friji, pasi, tv, radio, taaa, sijavuta bado umeme wa Tanesco lakini nataka...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Receive money from anywhere in the world with PayPal. Equity PayPal Withdrawal service allows you a convenient way to receive money directly into your Equity Bank account. Learn more here...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Htc wildfire s 5MP camera. With LED flash Android 2.3.6 (gingerbread) upgradable Int mem 1gb with 512 ram Cardslot upto 32 gb Released June 2011 Huawei y300 5MP camera with LED flash Android...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Napenda kuishauri mifuko ya hifadhi ya jamii kama vile LAPF, PSPF, NSSF na mingine kuwa na mtazamo chanya kwa kulenga kuwanufaisha zaidi wanachama wake kwa kutoa mikopo ya riba nafuu ya nyumba...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
upo mjadala mkubwa juu ya uzawa na makampuni ya nje katika kutekeleza shughuli za kiuchumi, mimi binafsi taaluma yangu ni mhandisi ila natamani sana ningesoma uchumi maana Tanzania sioni wachumi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 55 urefu x35upana kwa 29mita kinafaa matumizi ya ujenzi wa nyumba ya makazi au gesti na baa kina barabara si ya kuomba ipo na kuhusu miundo mbinu kama maji na umeme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salaam! Naomba kujua ni benki gani hapa nchini zina huduma ya pay pal.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye uwezo wa kuandika vitabu vya stori na vingine vya nafunzo. Kikubwa nakosa sapoti kutoka kwa watu wenye uwezo na wenye kunipa mchango wa kimawazo. Nahitaji mchango wenu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, naomba kama kuna anaejua wapi naweza kupata beiskeli za kuuzia ice cream hapa na bei zake pls
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Wanajamvi habari zenu.. Nawatakia mwendelee na w/kend njema.... NAOMBENI MNIJUZE SOKO LA AKWAMARINE. Yaani mahali na msimamo wa bei . Santeni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, napenda kujuzwa iwapo nyumba imeuzwa 1. Kama ikiuzwa bei kubwa kuliko kiwango cha mkopo, kile kiasi kilichoongezeka unapewa mwenyewe? 2.Iwapo itauzwa chini ya Kiwango cha mkopo je bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa muda sasa serikali imekuwa ikiendesha mpango wa kilimo kwanza ikilenga kuinua kilimo nchini. katika kutekeleza hili serikali imekuwa na mpango wa kugawa pembejeo za kilimo kwa wakulima...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
hivi naomba kujua hizi machine za electronic fiscal devise zina lengo gani kwa wafanyabiashara au nikutukata mapato mpaka faida tunazopata?
0 Reactions
1 Replies
946 Views
If you ask Thomas Corley, being rich has very little to do with luck and everything to do with habits. Corley, who spent five years monitoring and analyzing the daily activities and habits of...
3 Reactions
0 Replies
977 Views
People watch as the first consignment of heavy steel being transported by rail from APM container terminal to Uganda passes in Mombasa May 22, 2014. Photo/Laban Walloga Nation Media...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Kichwa cha habari kinahusika.Ninaomba kama kuna mtu yupo nje ya nchi ama ndani ya nje mwenye exposure na uzoefu wa kutosha tuwasiliane kwa pm kisha tutapeana contact kwa mawasiliano...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu nyote wana Jamiiforums. niniomba kwa yeyote anaeweza kunipa taratibu maana nilisha sajili jina la biashara,lakini sasa nataka iwe kampuni yenye ukomo ltd tafadhali
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom