"The top ten compliant taxpayers from different sectors under the category of large taxpayers included Estim Construction Company Limited (Engineering), NMB (Financial), Sopa Management (Hotels)...
Wakuu salaamu,
Kichwa cha habari kinahusika.Ukisoma kwenye kijitabu cha muongozo cha kituo cha uwekezaji Tanzania 2013-2014(Tanzania investment guide book 2013-2014) utaona kwamba nchi yetu ina...
Kwa Mda Mrefu Nilikua Na Ndoto Ya Kufanya Biashara Ya Dagaa Wa Kavu Kutoka Mafya Kuja Dar.Zoezi Langu Lilishindikana Sababu Ya Mtaji,kwa Sasa Nimesaidiwa Tsh Laki Tano Ili Niweze Kufanya...
Hauna shida ya kununua karatasi za kaki kwa bei aghari,tunauza karatasi zenye ukubwa wa tano kwa sita,kwa shiling miatano tu,kwamaelezo zaidi napatikana kwene,facebook/joel.pisevu.com,au...
Wadau wa maisha ni pesa!
CRDB lumumba brach jijini dsm ni majanga! Wateja ni wengi sana kwenye branch kiasi kwamba huwezi kwenda na kudeposit pesa zako fasta then ukaendelea kuzisaka zingine...
Magari zaidi ya milioni moja yanahitilafu ya usukani
Kampuni kubwa ya kutengeza magari nchini Marekani imeagiza magari milioni 1.4 yarejeshwe kutokana na hitilafu ya usukani.
Takriban magari...
habari wana JF. kama kuna mtu anafahamu maali wanapokodisha digital camera or video camera kwa siku naomba mnipe maelekezo. Tunaweza wasiliana kupitia namba 0798-616347. Ni kwaajili ya siku ya...
Wana JF kuna tiles za kichina wenyewe wanaita grade 1 mtaani wanaziuza tsh 18000 kwa box la pic 12 za 40*40 na wale waChina wa GoodOne pale Kkoo wanauza tsh 16,000 kwa box.hazitelezi kama zile...
WANA JF,
Jamani nilikopa na ilipobaki miezi 3 nilitopup mkopo kwa masharti ya kawaida kuwa lazima nilipe balance kwa mkopo mpya na kuwa fedha itakayoingia ya ile balance niliyolipa itarudi...
Naomba kujuzwa procedures, tayari ninayo kampuni inayofanya mambo mengine kama supplies, management, tour operation etc. Ila kwa sasa nataka kufanya shughuli za clearing and forwarding as I have...
heshima kwenu wadau.
naomba msaada wa makadirio ya kodi ya toyota passo ya mwaka 2005,990cc itakuwa kiasi gani?
na je gari ya mwaka 2005 march japan ukiingiza tanzania itakuwa na gharama ya...
Plz ndugu zangu nilikuwa na wazo la kufunguwa microfinance kwa peke yangu cntoweza nilikuwa naitaji kwa yeyote aliye tayar kama vp tuungane kwa pamoja na kwa njia yoyote ya halali tutafute working...
Maji yamekosekana katika machinjio ya Bunda mjini na kukwamisha uchinjaji wa mifugo. Kwa hali hiyo wafanyabiashara wote wa ng'ombe, Mbuzi na Kondoo wamekwama kuchinja. Source wachinjanji
Leo nimemsikia dada yangu Ester Bulaya akisihi serikali kuongeza pesa kwa
ajili ya maendeleo ya vijana katika bajeti ya
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo ambayo mwaka 2014/15...
Sijui ndio dalili za umasikini hizi au. Yani nikiwa naka pesa kidogo ndani ya nyumba nahisi kama navamiwa vile. So nawaza siku moja Mungu akanibariki nikawa na minoti sijui hali itakuwaje maana...
Ninakuja na Biashara ya Mchele huitwao MCHOPEKO, ambao nitauza kwa Sh. 2,000/kg. Katika mfumo wangu wa kuuza nitawahusisha vijana popote ulipo. Wewe kijana nitakupa 1 Kg kwa Sh. 1,600/= na...
kwa wale wote wafanya biashara wadogo na wakubwa. wanafunzi kutoka THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA)
wamo katika hatua ya mwisho kutengeneza app ya simu za android kuwarahishia wafanya...
Why TZ wont benefit from Kenya woes
"If these tourists could stay in East Africa, the whole region would have benefited in one way or another - Laurence Paul, TAOA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.