Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini wakuu! Nina wazo la kufanya biashara ya unga wa mahindi, ulezi na mchele aina ya chopeko toka mahenge/ifakara/kilombero na kuleta Dar es salaam vyote vikiwa packed kwenye mifuko kwenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
katibu mkuu wa viwanda na biashara amesema atazifungia pombe zote zinazotengenezwa na kuwekwa kwenye vifuko vya plastiki almaarufu viroba ikiwa hazina viwango na pia usalama wake kwa mtumiaji ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu wakuu. Mm sio mzoefu wa hili jukwaa ila nahitaji msaada wa mawazo kwenye jambo flani. Nina rafiki yangu ambaye yupo kwenye kikundi cha akina mama cha kuchangishana na kusaidiana...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Ndugu zangu kama kuna taarifa zozote tupeane hapa kama kuna kazi za muda mfupi katika maonyesho wa biashara maarufu kama SABA SABA 2014
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ni almost a week now nasikia tangazo la M-PAWA kutoka vodacom na kila nikijaribu kulifuatilia nashindwa kulielewa kiufasaha. Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa kutosha maana wanasema...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Guys nahitaji pata card ya fasta ya kujiunga na paypal, Je niende bank gani nayoweza pata viza/mastercard ya kununua itayoweza niunganisha na paypal with a short period of time?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kupanda miti, nifanyeje wadau nipeni njia nzuri za kuanza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tshs. 30,000,000/= ya mwaka 1997 ni sawa na Tshs. ngapi kwa sasa (2014)? Naombeni na methodology tafadhali. NB: Kuna mzee mmoja alikuwa anadaiwa hiyo hela mwaka 1997, hakuweza kulipa tangu sasa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ndugu , jamaa na wapendwa naomba mniambie soko la kuku wa nyama dar limekaaje, upatikanaji wake, na bei zake! tafadhali naomba mnisaidie stock yangu ni kuku 500 nipo Kibaha-mlandizi mawasilian n...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za leo wana JF, na wanajamvi wa jukwaa hili kwa ujumla, natumaini nyote mu wazima wa afya na kama kuna mgonjwa na mwenye matatizo mbali mbali basi mwenyezi mungu amsaidie. Napenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kenya locks out TZ tour operators, cars Share Bookmark Print Email Rating Foreign tourists use binoculars to view wild...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Habari za mchana. Ndugu wadau naomba kupata ushauri juu ya biashara nzuri ambayo mtu alieajiriwa anaweza kuimiliki na bado akapata faida bila matatizo yeyote. Nasema hivi kwasababu biashara nyingi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayejua sehemu au kiwanda kinachozalisha chupa za kopo sealed anijulishe manake ninashida nazo haraka sana;nahitaji za nusu lita na lita moja;kama mtu anajua na bei ya jumla itakuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shilling loses against dollar for 9 consecutive weeks Share Bookmark Print Email Rating Bank of Tanzania Governor Benno...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The National Microfinance Bank (NMB) has alerted the public especially their customers to beware of an organisation identified as Tanzania Loans Society which claims to be an affiliate of the bank...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wana jf napenda kujua kuwa soko la soya beans hivi inalipa? Nataka nianze kulima msim huu hizo soya hususani zile za njano naomba niulize haya maswali kadhaa hivi zinaitaji hali gani ya hewa ili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji xperia kati ya hizo ziwe na hali nzuri zlizotumika,call 0755724988 serious calls only
0 Reactions
3 Replies
851 Views
Wana-JF, ninaomba ushauri juu ya hii biashara ya kununua mpunga na kuhifadhi. Inalipa bado? Kuna wakati ilikuwa dili. Kwa sasa ninaweza kupata kamtaji angalau kuanza lakini sina hakika. Mwaka jana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina shida ya dharura imenipata nahitaji million moja niweze kuikabili. Nitairudisha mwezi july kabla ya tarehe 15. Naomba mnitumie email mnaokopesha kwa riba ili tuongee mtani charge riba kiasi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana Jamiiforums nawasalim!.. hope mko salama salimini!... Kwa wanajamii ambao wanahitaji website nzuri zilizotengenezwa kitaalam kwa ajili ya kutangaza biashara.. iwe ni shule, supermarket...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…