Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza wadau naomba msaada wa madarasa au apartment naweza nikafanya partition Lengo langu ni kuanzisha courses ndogo ndogo na tuition programmes , Nataka maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napatikana Dar es Salaam Kinondoni Antivirus pia ipo Avira kwa Sh 20, 000 (Waranti ya miaka 2) Spare parts za computer na mengineyo kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi PM me.
0 Reactions
0 Replies
802 Views
DAR ES SALAAM, March 27 Thu Mar 27, 2014 11:39am EDT PrintEmail (Reuters) - Tanzania's current account deficit expanded by 34.7 percent in January from a year earlier to equal 17 percent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilikuwa nachat na wafanyabiashara mbalimbali na wanalalamika kuongezewa kodi. Wanasema kodi imepanda kufidia shughuli zinazoendelea katika nchi. Ebu naomba ukweli kwa nyie mnaofanya...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Kuna sheria moja muhimu ambayo inatawala kwenye maisha yetu binadamu. Sheria hii iko wazi ila ni wachache sana wanaojua umuhimu wake na kuitumia kufanikiwa. Ndio maana nimeiita siri muhimu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana jf. Nina mpango wa kulima mahindi na matango kwa ajiri ya kuyauza kwenye soko la ndani, Napenda kujua kama kuna anayejua soko limekaaje?I mean ntafanya biashara au itakula...
0 Reactions
36 Replies
17K Views
Wadau nataka kufanya biashara ya dhahabu kutoka kongo!Sijajua soko lake likoje hapa kwetu ktk biashara hii pia ni taratibu zipi zinatakiwa nizifuate ili nifanye hii biashara kihalali!Yaan kama...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari. Ninaomba mtu anayeweza kuniconnect namna ya kupata Tshs.6,000,000 mkopo.Kifupi jamaa yangu ana shida na hiyo pesa na ameniomba aniuzie hiyo gari. Mimi nimelipenda hilo gari na natafuta...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Microsoft Office 2010 is out. Tsh 30,000 per PC/Laptop and 100,000 per PC/Laptop + a lot of Pc/Laptop unlimited installation.For more info please call 0684888841.
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Kwa mwenye information naomba kujua commissions anazopata wakala wa hizo money transfer tafadhali, tena kama kuna mwenye jedwali la viwango nitashukuru zaidi, (mfano mtu akitoa kiasi fulani au...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
With Manyase, you can get items from U.S.A way too more than you can Imagine. Now take advantage of Manyase's services. Buy America and Enjoy durable items. Simply with Manyase, shipping ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu! Ninahitaji kulima vitungu lakini sina utaalamu wa kilimo hiki. Mwenye uelewa wa kilimo hiki tafadhari anisaidie. Nahitaji kujua ghalama zake kuanzia kukodi shamba mpaka kupandikiza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF. Msaada jamani ni biashara gani ambayo naweza kufanya nikaweza kuendesha life ikiwa nimepanga na mke na mtoto mmoja na nina msingi wa milioni mbili maana nawaza mapaka napagawa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu msaada! Nataka kuwa agent wa biashara fulani toka nje. Ila sijui TBS huhusika vipi, kwa jinsi gani, na kwa gharama zipi. Naamini wengi tutafunguliwa macho kwa hili. Shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najiuliza swali hili kwamba wafanyakazi kwenye mabenki yetu Tanzania wanaelewa kwamba benki kutoa mkopo kwa mtaje ni biashara kwa hiyo benki? Sababu za swali hili ni kama ifuatavyo: 1. Wateja...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu tangu azam atoe ving'amuzi vyake nilkuwa bado sijaviona lakin leo katika pitapita yangu nikaweza kumkuta jamaa mmoja anacho aisee nimevutiwa sana na hiv ving'amuz kwanza channel ni nyingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali uliobainiwa na serikali sikivu na inayojali watu ya Mwalimu mnamo miaka ya 1973, azimio la Arusha lilikusudia kuweka tume ya udhibiti bei "THE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huduma ya Bank ya NMB tawi la Bunda Mara sio nzuri. Unakuta wateja ni wengi wa kuweka pesa. na wahudumu ni wawili tu. Then hao wahudumu wana low speed kwa kutoa huduma zao. Hili tatizo nimekumbana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarin wanajamv anaefaham bei ya hiyo machine naomba anifahamishe..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nipo arusha natafuta kazi ya ufundi umeme au kama ww nifundi mwenye jina mjini au kampuni nipo tarayi kufanya kazi. elimu yangu ni 4m4 na elimu ya ufundi umeme veta daraja la 3(tatu) uzoefu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…