Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau poleni na shughuli, nilikua naulizia iwapo kuna mdau yoyote anayefanya biasharaya kuuza ream kwa bei ya jumla anayechukulia china, shida kubwa nilionayo ni brands zipi za kutoka china...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wachumi waje kusaidia kujibu hapa Deni la taifa litaanza kulipwa lini? Je, nchi inaruhusiwa kuendelea kukopa mpaka lini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu yangu bofya GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly, then Create Your Account. Yaani utakamilisha usajili wako ndani ya dakika 5 tu. Hii ni kazi ya mtandaoni! Hakuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa wapi nitapata mashine za kuchanganyia unga wa mkate (kukanda) zisizotumia umeme. Bei na uwezo wa mashine ni muhimu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar es Salaam.Kampuni ya Ufuaji Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza utekelezaji wa mpango wake wa kuwezesha miradi mbalimbali kwa vijana wa Kitanzania kuimarika kiuchumi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuwe makini wafanyakazi wengi tunaowaacha kwenye maduka kutokana na ubize wetu siyo waaminifu. Wafanyakaz wengi huangalia bidhaa inayouzika sana hivo nayeye analeta mzigo wake na anaanza kuuza wa...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari wakuu. Nimepita baadhi ya taasisi za kutoa mikopo kama mabenki na Microfinance nikiwa na vielelezo vya usajili wa biashara(Tin ,lesseni na business registration name) pia niña mchanganuo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
The matter of geting out of poverty is an individual's creativeness. test your here. http://gopaidweekly.com/?ref=92254 all the best fellows.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu! Nataka kuanza kuuza biashara ya ubuyu wa kupeki kwa bei poa kabisa, naomba msaada nawezapata wapi masoko ya biashara hii!! na je hii biashara inalipa!!? Naombeni ushauri mwenye...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Nauza simu za smartphones nzuri kwa bei za kawaida, Zina range from HTC, Samsung, Sony Xperia, Nokia nanyigine. Leo ni siku yako kama unataka smartphone, Chukua leo usi regret kesho. Namba za simu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwandosya: Tatizo la maji Dar kuwa historia TUESDAY, 15 MARCH 2011 19:45 NEWSROOM NA MWANDISHI WETU TATIZO la maji Dar es Salaam litakuwa historia ndani ya kipindi cha miaka minne baada...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza, ninataka kufungua m pesa ya million moja" naomba ufafanuzi jinsi ya kupata faida na kiwango unacholipwa kama wakala anayefahamu anijuze jamani
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Salaam wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, mwenzenu nimekwama hivyo naangalia upande wa pili. Nilikuwa na kazi zangu za kijasiriamali kwa miaka kadhaa, mambo si mambo yakatukia ya kutukia...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Vijana wengi wana idea nyingi za biashara lakini kutokana na kukosa fedha wamezikalia hizo idea,hivyo kama uko na uwezo kifedha andaa mashindano kupitia mitandao ya kijamii kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi guys, Kuna binti mmoja anaitwa JENNY, ni mwanafunzi 1st year sua-anasomea Bsc.FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY ENGINEERING, kaniomba ushauri nikasema nitaweka humu kwa ma great thinkers ili watoe...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari za uhakika nilizozipata ni kuwa yule aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa HITS-TANZANIA Bw.Gerhard May (Pichani)ame-resign siku ya Alhamisi,Wakati huo kukiwa na tetesi kampuni ya Huawei...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa ninavyojua Bank za kawaida e.g. CRDB, NBC etc. zimesajiliwa B.O.T na zimedeposit fedha kiasi fulani B.O.T just encase zikafilisika fedha hizo hutumika kuwafidia wateja wao....Wasiwasi wangu ni...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
ZNZ Kuipiku Dubai?Soma Utoe Maoni Yako Kweli Zanzibar kuipiku Dubai *Kuiacha kwa mbali ‘Dar’. Ila iende kivyake *Lakini matusi haya ya nini. Akina Samia Suluhu, Fatma Abdulhabib Fereji, Amina...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau wa businesses. nimekuwa nikiwafuatilia wafanyabishara wa hizi bidhaa za mali za asili kama kama mkaa , mbao , samaki , madini . wengi niliowadadisi wanatumia uchawi . kuna...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom