Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wadau ninahitaji simu yenye uwezo wa kupata Whatsapp kwa gharama ya shilingi ELFU 65 TU...NISAIDIENI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niko posta tena city centre lakini network mbaya mbovu,nashindwa hata ku download picha Na hili tatizo ni la kila siku,sasa sijui network inazidiwa au ni mitambo mibovu.Watu tunaweka bundles za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habar wadau, nina sh laki 8 nataka kufanya biashara cjui ip itafaa!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii kampuni ilikuja kwa mbwembwe! Oooh tumekuja kuwakomboa wazawa nao wamiliki uchumi wa nchi yao! oooh tunawaacha wageni wanafaidika na rasilimali zetu. Oooh hii kampuni ina inaongozwa na...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wadau, nipo India kwa kazi za sanaa ,naomba kujua mwenye idea ya biashara gani naweza kununua India na kusafirisha Tz ambazo zina soko Tz? Shukran.
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu; Kwa yeyote anayefahamu hii biashara ya telexfree naomba ufafanuzi imekaaje ? asante
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Naomba mawazo yenu, ni jinsi gani naweza kuanzisha tv show mana nina wazo langu zuri ambalo nataka nilianzishie kipindi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ninayo cash milion 4 ,je naweza kupata gari ya kutembelea?,nipo tanga nisaidieni wadau
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wadau, kama kuna yeyote anaweza kuniambia wapi naweza kupata eneo mto ruvu mkoa wa pwani kwa ajili ya umwagiliaji anijuze. Nahitaji angalau ekari 1 au 2. Eneo ambalo liko karibu na mto, ekari 1 sh...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikua wakala wa buton pay, nikauziwa mashine(printer) na simu kwa ajili ya kufanyia kazi. Baada ya kuitumia kwa mda, simu ikaanza kusumbua, baada ya kumpigia mfanya kazi wa buton pay aliyeniuzia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ipi inalipa kununua kwa ajili ya biashara? kiasi gani ina cost kukodisha? or
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kenya launches Islamic studies curriculum in madrasasA new curriculum being piloted in 50 religious schools in Kenya aims to streamline Islamic studies and ensure extremist teachings are not...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari za mchana.? Mimi ni mtaalamu wa masuala ya Sales & Marketing kwenye mahoteli kwa zaidi ya miaka 8 sasa.Ninahitaji kupata hoteli nyingi toka maeneo mbalimbali nchini ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimemaliza kufanya utafiti wangu siku mbili zilizopita, nafikiri ni vizuri baadhi ya mambo machache nikayaweka hadharani ili wale vijana wetu wenye nia ya dhati ya kujikwamua kimaisha waweze...
2 Reactions
26 Replies
10K Views
Massawe Ernest & Young, recently conducted a survey with the above title and compiled a report (see link below).Does anyone have a copy of the full report? Or can someone get a copy of that...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ubinafisishwaji ni tendo ambalo linahusisha kuamisha mali ya umma ama moja kwa moja au sehemu ya mali hiyo kutoka kwa serikali kwenda kwa wadau binafsi. Lengo kuu ni kutaka kuleta wadau wengi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna gari ipo Sokoni ni Mazda Premacy na ipo hapa Tanzania, Dar. Gari hii inamilikiwa na Afisa mmoja wa Ubalozi na plate namba yake ni ya kibalozi. Kwahiyo kama nahitaji kununua lazima niifanyie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya EAGLE ALUMINIUM AND GENERAL SUPPLY Inakutangazia Bidhaa za Madirisha ya Aluminium Bei kwa Sqm Sh. 120,000/= & Baluster from Turkey Kwa Mita ni Sh. 200,000/= GRIL (Bei inategemea na...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Nauza barbershop yangu ipo mitaa ya Sinza,kutokana na kufanya kazi nnje ya dar usimamizi unakua mugumu ivyo kwa yoyote atakae itaji awasiliane na mimi kwa no 0653441748
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenye tablet ya.samsung anauza iwe inch 7 au 10, tab 2 au 3, aniPM tufanye biashara.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom