Napenda kufahamu ni wapi hapa dar nitapata miche ya mipapai ya kisasa,ile inayochukua miezi 6 pia napenda kujua changamoto kwenye hiki kilimo cha mapapai
KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD, ni kampuni iliyo sajiliwa kishera chini ya BRELA.
Kampuni inajihusisha na:
1) Ushauri wa kuanzisha, kukuza na kupanua miradi ya aina mbalimbali...
Kampuni ya Statoil yaendelea kugundua gesi bahari kuu:
Meneja wa Statoil Tanzania, Oystein Michelsen
Kampuni ya Statoil na mshirika wake, Exxon Mobil, imetangaza matokeo mazuri ya majaribio...
Hi wanajf naomba ushauri wa kifikra katika kujiendeleza kiuchumi kwan nina 1,500,000 na nina mpango wa either kununua boda boda niifanyie kazi mwenyewe au ninunue lain ya mpesa na tigo pesa nitoe...
Kila kukicha Tanzania kunaanzishwa benki mpya na mengi ya haya mabenki yanajinadi kuwa wanatoa mikopo. Naamini ni muhimu kufanya hesabu kuona kama kweli masharti yao haswa riba na dhamani ni nzuri...
Habari zenu, najua hili sio jukwaa la biashara, lakini kwa mada hii naweza kuwa nimewasaidia na kuwakomboa wana JF hasa members wenzangu wa MMU, Wanajamvini, nina account na NBC kwa muda mrefu...
Je nikwanini wafanya biashara hawapendi kulipa kodi kwa shuruti?...Kama kwenye harusi au harammbee?
1-Ni kwasababu hajui inatumikaje, au haoni faida yake ya Moja kwa Moja, au ufisadi unaosikika...
Tunaitaji tawi jingine la bank ya crdb bank..maana hii iliopo imeshazidiwa na wateja wengi sana..unaweza kuingia bank ya CRDB ukatumia taklibani masaa matatu na zaidi na wakati ni kazi ya dakika...
Habari Wadau,
Mimi nina mtaji wa 40m ninataka kufanya biashara ya kutengeze mafuta ya kula kutokana na mawese.
Nimejaribu kufanya utafiti wa malighafi Kigoma na Urambo tabora ipo ya kutosha.Eneo...
(NAOMBA MWENYE ROHO YA KUGUSWA ASICHOKE KUSOMA MAELEZO HAYA..MAAANA NI LAZIMA NIJIELEZE JAPO KIDOGO NDIO NIELEWEKE)
Samahani waungwana, Naamini badhayenu mtanielewa na atakayeguswa naomba...
Assalam aleykum, bwana Yesu asifiwe.
Wanajamvi ninaomba msaada kwa anayejua kodi itakayokatwa na watu wa TRA kama ninaingiza gari ya dola 6000 nje ya gharama za usafiri ya mwaka 2005. Nikiweka...
Sometimes we find ourselves running in place, struggling to get ahead simply because we forget to address some of the basic success principles that govern our potential to make progress. So...
East Africa's newest millionaires are likely to come from Tanzania, as opposed to Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda or Burundi.
Tanzania is creating dollar millionaires faster than any other East...
Mohammed Dewji
After studying business atGeorgetown University, Mohammed ‘MO' Dewji returned to Tanzania, took over his father's commodities trading business and transformed it what he...
According to Forbes
There are 1,426 billionaires in the world this year. They are the wealthiest of the wealthy. But only 29 members of this elite list are under 40 years old, with
that exciting...
Wakuu poleni na majukumu.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu wakala wa kusafirisha vifurushi kutoka Marekani kuja Tanzania anijuze. Pia kama kuna njia yoyote iliyo salama kusafirisha mizigo naomba...
Waungwana,
Nahitaji mshirika katika biashara, the details will be available just for anybody who will show interest,Mainly he/she should be in Dar es Salaam, the business itself is very simple...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.