Hii nchi wangepewa waisrael ungekuta leo hii wanalisha afrika nzima, Babu yangu ana pori la ukubwa wa acre 800 (hectare 320 ivi) zamani alikua akilima mahindi/maharage/vitunguu akinyeeshea kwa...
Salaam.
Niko Mwanza kikazi. Kesho narudi Dar. Ndugu wanataka niwaletee samaki wa huku sato na sangara.
Je nawapata maeneo gani? Bei ikoje? Na gharama za kusafiri nao Fast Jet zikoje? Nasafiri...
Huduma inawezesha mteja wa tigo tz kutuma na kupokea fedha kwa mteja wa tigo rwanda. Naona muda si mrefu safaricom , Vodacom,airtel,mtn kuanzisha crossborder mpesa. Step in the right...
Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k.
Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa...
Habari za jumapili wanajukwaa. Jamani naomba msaada wa juu ya taratibu na gharama ninazoweza kutumia kusajili kampuni ya uwakala wa mauzo wa bidhaa na huduma mbalimbali. Natumaini kupata...
Wadau habari za majukumu! naombeni mnisaidie mahali ambao lipo soko la uhakika la zao la mahindi Tanzania nisaidieni Nina magunia kama 500,na ikiwezekana nisaidieni taarifa mabali mbali toka huko...
Habari wakuu,
Mimi nina restaurant ipo kwenye eneo ambalo ni very potential. ninahitahi mkopo wa million tano. naweka dhamana ya biashara yangu na vitu vyote.
Naomba mnifahamishe ni wapi...
Habari zenu wanajamii forum,
Najitokeza katika jukwa hili ili kuweza kupata msaada wa biashara,kiufupi kuna jamaa yangu mmoja amemaliza chuo na kapata kazi katika taasisi moja kubwa na anachukua...
POSTED WEDNESDAY, NOVEMBER 20, 2013 | BY- YVONE KAWIRA
Nairobi to host US's Power Africa project
Nairobi will host the regional headquarters of an initiative led by US President Barack Obama...
Mimi ni mteja wa Benki ya makabwela NMB kwa karibu miaka 15 sasa. Ila siku za hivi karibuni wamekuwa wakinikera sana. Ni miezi mitatu sasa nafuatilia kadi yangu iliyo expire.
Wiki ilopita...
Tanzania falters in gold trade
Exports drop as Tanzania falters in gold trade
IN SUMMARY
The latest Central Bank review of the economy shows that the trade deficit widened further last year...
Habari zenu wana JF.
Naomba wanaofaham kuhusu Telexfree ni nini? Je ni aina nyingine ya decy?. Tafadhal naomba wanaojua kuhusu hili wanijulishe na mimi.
Habari wadau wa jukwaa hili,siku nyingi nimekuwa nikitamani sana kununua bidhaa au vifaa vyaa kazi zangu za umeme na dish satellites online kwa unafuu wa bei ila naogopa nahisi usalama hamna wa...
KAMPUNI YA KIMI DEV. CONSULT LTD, YENYE OFISI ZAKE SOKO LA MAGOLOFANI, BLOCK F.6 MBEYA MJINI : TUNAWEZA KUKUTAFUTIA NA KUKUAGIZIA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA VYANZO HALALI NA VYA UHAKIKA NDANI NA NJE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.